Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Tusiofuatilia mambo hebu tuelimishe, CWT ni ajira ya serikali?
Sijui kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tusiofuatilia mambo hebu tuelimishe, CWT ni ajira ya serikali?
Sio wa kwanza hao kukataaa... Watu walikataaa Kwa Magufuli na maisha yakaendelea ndio iwe Kwa huyu!!??ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Acha ujinga na upumbavu watu kibao wali kataa uteuzi hata wakati wa Magufuli uliona walionewa au kufanyiwa ubaya? Punguza ujinga!Zama za Giza zilishapita, Mungu alimaliza ugomvi Kwa umahiri.
Unatakiwa utambue kitu hapa, viongozi wengi walioteuliwa ni watu wasio na ujuzi ama uwezo wowote ule, wengi wao ni chakula cha mtu fulani serikalini au fala tu asiyejitambua. Hawa kazi yao kubwa ni kama hivyo kusujudu muheshimiwa na kumpigia makofi, wakiachishwa kazi wanakuwa na wakati mgumu sana wa maisha. Waonee huruma tu na kuwasamehe.MAMBO yamekuwa MAMBO .Wewe ni MTUMISHI wa TAASISI fulani unalipwa MSHAHARA wa Tsh.Mil.7.8
UNATEULIWA kuwa DC ili Upate MSHAHARA wa Tshs Mil.3 na SHANGINGI
Je UTAKUBALI TEUZI au UTAKATAA?
Umeongea neno lenye ukweli mnoAfu walikuwa wanatemwa baada ya uchaguzi
Kwani CWT ni serikalini?Muwe mnafatilia mambo, kwa serikalini kama ulikua unalipwa 500,000 ukapelekwa sehemu ya 300,000 utaendelea kulipwa 500,000
Mkuu wa wilaya anaweza kupiga kuliko katibu mkuu C.W.T?Unakubali .maan utatafuta sehemu ya kupiga.
Kwa nini unabeza watu Kwa kitu usichokijuwa?Sijui kwa sasa
ILA watajutia kukataa uteuzi ni dharau na kibri kwa mkuu wa nchi....kuna kitengo kitashughulika nao tena kimyakimya bila kelele! Labda kelele watapiga wao na si ajabu mkashangaa watu wakakimbilia kuropoti.. Serikali ni sirikali haijawahi kushindwa!
Ndio utoe elimuKwa nini unabeza watu Kwa kitu usichokijuwa?
Ukiwa mpigaji mzuri huo mshahara 3m ni WA kununua soda tu! Kumbuka wewe unaidhinisha kila kitu, mkurugenzi hawezi kula kabla wewe hujala. Ila tatizo ni kutumbuliwa wakati wowote.
Huyu ndio aliokwamisha vishkwambi visiwafikie walengwa nini
Msando akikopa Ela milioni 100, akawapa wamachinga..sijui anahali Gani kwa sasa
Bado yupo tigo kwa mshahara ule ule ingawa hajulikani anafanya nini kuleHivi yule Ally Maswanya aliyeukataa UDC wa jiwe, yuko wapi sasa? Hahahaa
Labda kama una maelewano mazuri na mkurugenzi wa halmashauri maana uko ndo kwenye pesa lasivyo utakuwa mpiga domo tu jukwaani. Ukiona mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa halmashauri hawaelewani ujue mkurugenzi anakula peke yakeHivi wakuu wa wilaya hata kama wanalipwa 3M si wana mianya mingi ya kupiga pesa ? Au huko nako kumebana wadau ?
Mkuu wa wilaya ni mjumbe wa Kamati ya siasa ya wilaya, ni Mkurugenzi mjinga tu peke yake ndio hawezi kwenda sawa na Dc ambaye kimamlaka ni mkubwa wake wa kazi.Weee mkurugenzi anakula sana peke yake!
Nina mfano wa mkurugenzi mmoja kabla hajawa mkurugenzi alikua mhasibu bas weeee anazipiga za halmashauri vibaya sana kila wiki anaindoka na milion!
Anajisainisha posho za wafanyakazi wengine
Pia kuna zile za kila mwezi za kila idara anazipiga balaaa mkuu wa idara hapewi hela ya mwezi isipokua kama unashida ya mafuta useme kama una shida ya stationary useme sh ngap na uonyeshe mchanganuo
Wafanyakazi wanaliaaa ukata lakin weee unaanzia wapi kuripot? Labda kama hujipend!
Hlf huyo mkurugenzi hana habar hapani na mtu kifala! Mkuu wa wilaya mwenyewe wanakutana kwenye matukio maalumu tu