Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

Je, unaweza kuishtaki kampuni iliyotoa tangazo la biashara ukiwamo na wewe bila ridhaa yako?

Salamu wana jamvi!

Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana?

Natanguliza shukrani!
inawezekana kabisa kwani watakuwa wavunja haki yako ya faragha(invasion of right of privacy)ila utatikwa kuonyesha kuwa haki ya faragha iliingiliwa,madhara uliyoyopata,kuonyesha kuwa kupitia tangazo hilo kampuni husika ilijipatia faida,na haukuridhia picha yako au uhusika wako kutumika katika matangazo.
nafikiri inaweza kukusaidia kupata mwanga,japo tafuta wakili kesi iende mahakamani Boss
 
Back
Top Bottom