Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
[emoji1][emoji1][emoji1]Wadada wa jf msicheze mbali na huyu jamaa ni tajiri ajaye ishu yake ikikamilika
inawezekana kabisa kwani watakuwa wavunja haki yako ya faragha(invasion of right of privacy)ila utatikwa kuonyesha kuwa haki ya faragha iliingiliwa,madhara uliyoyopata,kuonyesha kuwa kupitia tangazo hilo kampuni husika ilijipatia faida,na haukuridhia picha yako au uhusika wako kutumika katika matangazo.Salamu wana jamvi!
Kwa wajuzi wa sheria, naomba kupata ufafanuzi wa je, taratibu za kuishtaki Kampuni iliyotoa tangazo la biashara likimjumuisha mtu asiye wapa ruhusa zipoje na inawezekana?
Natanguliza shukrani!