Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Bado gharama za kumhudumia mgombea wenu wa urais wakati akipitisha bakuli lake kuomba hela za saccos yao.Wakati wa JK tulikaa kwenye folen tukiwa na hela mfukoni.
Wakati huu tunapita juu hapo Ubungo tukiwa na mawazo ya kesho nakula nini.
Mshahara ule ule gharama zimepanda mara Mia.
Nafikiri ungekuwa sawa Kama ungetilia shaka uelewa wa mleta mada,na si wasukuma.UMEUA MCHANA KWEUPE.
Mayalla amenifanya kuwatilia shaka wasukuma
Unajua anakera huku anajua fika anakeraNafikiri ungekuwa sawa Kama ungetilia shaka uelewa wa mleta mada,na si wasukuma.
Magufuli anatenda lile analoliongea na tabia hiyo inampatia heshima kubwa kwa watu.Mmezoea kuishi kwa uongo, Musa alimkosoa Mungu kuwa asiwateketeze wana wa Israel kwani mataifa watamdhihaki kuwa aliwatoa watu wake Misri kuja kuwateketeza jangwani na Mungu akamsikia, sembuse kumkosoa Nyerere aliyekiri mwenyewe kuwa alifanya makosa mengi.
Tatizo lumumba mmejaa unafiki, mlimjaza Makonda unafiki mwishowe mkabwaka, mnajaza Magufuli sifa za uongo naye atapita
JPM kapiga kazi ya maana na kimaadili ni kiongozi bora kuliko Lissu kwa mara elfu kumi.
Lissu anamkejeli Mwalimu Nyerere asiyeweza kujitetea halafu anakwenda kutembelea Butiama.
Lissu anawatukana polisi akiwa jukwaani halafu akishuka chini ni hao hao wanaomlinda!!.
Ni haki ya Serikali iliyoko madarakani kutekeleza haya kwa walipa kodi sio fesha za mtu binafsi. Na asingevunja jengo la Tanesco bado barabara ingeweza kupitishwa.
Chupa za konyagi zinanunuliwa halafu ofisi za ufipa zinabaki kuwa vile vile miaka na miaka.unaweza ukawa madarakani lakini ukashindwa kufanya vipaumbele vya wananchi ingawa vyote utafanya ni kwa kutumia pesa ya umma: kwa mfano chadema wnaapokea mil 300+ kila mwezi ambazo ni pesa za wananachi pia lakini chupa za konyagi znanunuliwa sana machame kuliko sehem ingine tanzania
Bado gharama za kumhudumia mgombea wenu wa urais wakati akipitisha bakuli lake kuomba hela za saccos yao.
Chupa za konyagi zinanunuliwa halafu ofisi za ufipa zinabaki kuwa vile vile miaka na miaka.
Hawajui kuwa pesa kuwa zetu ni jambo moja na utashi wa kuzitumia vyema ni jambo jingine tofauti kabisa.
kuwa mtu wa uhalisia, acha hizo theory. Kwa nini hii interchange ya Ubungo haikujengwa miaka 50 iliyopita. Ili tuendelee tunahitaji mambo manne; watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Rais Magufuli ameonesha uongozi bora chini ya siasa safi ya CCM. Chagua Rais Magufuli, Chagua Maendeleo.
Chupa za konyagi zinanunuliwa halafu ofisi za ufipa zinabaki kuwa vile vile miaka na miaka.
Hawajui kuwa pesa kuwa zetu ni jambo moja na utashi wa kuzitumia vyema ni jambo jingine tofauti kabisa.
Hela ni ya walipa kodi, tuliochuma kwa uchungu. Walipa kodi ndo wakushukuriwa huku hata hawadai mchanganuo wa jinsi hela zao zilivyotumika.
kwan tunaokaa buguruni tunaelewa huo msala wa hapo ubungo, kwa kazi aliofanya magu apo lazima tumpongeze
Ametumia mishahara yake?