technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Asantee kwa lipi wakati ni mkopo utalipwa na Mimi na wewe wakati huo mshahara wa Magufuli haukatwi Kodi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendokasi imejengwa na shangazi yakoWakati wa jk tulikaa kwenye folen tukiwa na ela mfukoni
Wakati huu tunapita juu hapo ubungo tukiwa na mawazo ya kesho nakula nn
Mshahara ule ule gharama zimepanda Mara Mia
Kaka sitaki kabisa kuamini kama hili andiko ni la nguli wa habari Pascal Mayala tunayemfahamu, Mwandishi wa kujitegemea ambaye aliwahi muuliza JPM swali gumu wakati akitangaza baraza lake la kwanza la Mawaziri alipoingia madarakani, Mzee akachanganyikiwa na lile swali na kuamua kufuta Press conference zozote na waandishi wa habari hadi leo hii...
Kwahiyo kwakuwa haikujengwa kwa miaka 50 inakuwa hisani ya Magufuli au? Kwahiyo Magufuli ana siasa safi na uongozi bora? Kama unaamini hivyo basi ni miongoni mwa watanzania wanaoongeza vichwa kwenye nchi.kuwa mtu wa uhalisia, acha hizo theory. Kwa nini hii interchange ya Ubungo haikujengwa miaka 50 iliyopita. Ili tuendelee tunahitaji mambo manne; watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Rais Magufuli ameonesha uongozi bora chini ya siasa safi ya CCM. Chagua Rais Magufuli, Chagua Maendeleo.