Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ndomaanaa tunampongeza kwakuifanya.Sasa si angekuwa mtu wa ajabu kuvuruga mradi mzuri kisa eti ana powers za kufanya hivyo😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndomaanaa tunampongeza kwakuifanya.Sasa si angekuwa mtu wa ajabu kuvuruga mradi mzuri kisa eti ana powers za kufanya hivyo😁
Basi tumpongeze kwa kutong'oa reli ya TAZARA licha ya uwezo wa kufanya hivyo alikuwa nao pia😁Ndomaanaa tunampongeza kwakuifanya.
Wivu umekujaa SANALakini mbona hayo yote yalitafutiwa fedha na serikali ya Kikwete?, mimi ninachojua mradi wa ubungo ni mkopo fedha za worldbank na mradi uliandikwa na utawala wa Kikwete
Au kwa sababu ujenzi ulifanyika katika awamu ya Magufuli?
Mpishi na mpakuaji nani apewe sifa?

Unajua aribuni nani ??! Acha ujinga weweView attachment 2103822
Pamoja na kumsifu Magufuli, lakini tukumbuke tu huo mradi ni wa Utawala wa Kikwete ambao Magufuli alihudumu kama Waziri.
Mimi napongeza zaidi yule anayebuni miradi na kuitafutia fedha.
Kila kitu kizuri alichokifanya kilikuwa kwa niaba ya Watanzania na siyo kwa ajili ya 'personal glory'. Hivyo, tukiona miundombinu nzuri tuone Tanzania yetu ilivyo nzuri.Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.
Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
Kuwa na hisia siyo jambo baya ila reality ni vitu viwili tofautiWivu umekujaa SANA
Hata kama wangeita ngazi ama kivuko, Kuna shida yeyote?? Walifanya kulingana na uwezo uliokuwepo na hakika tunawapongeza sanaBwana Mayallla hapa Tanzania hakuna Interchange wala Flyovers ile ni High bridge ndugu,watu wanadangaywa tuu kwa kuwa uelewa wao ni mdogo..... mwisho sina ugomvi na miundombinu hiyo
Boss wa CRDB wa sasa kupitia ukurasa wake wa instagram, salam za pongezi sivyo kama Paskali uonavyo.Leo nimepita Tanzanite Bridge, nikamkumbuka JPM, kwa yeyote anayekatiza hapo, lazima atamkumbuka JPM na kumshukuru japo kimoyo moyo. JPM ameacha alama.
RIP JPM.
P
Kwa mtu mwenye muono na fikra za kawaida, unaweza kujiuliza kwanini plan zimeanza wakati JPM akiwa waziri na mambo yakanoga wakijua anakuja kuwa Rais ajae.View attachment 2103822
Pamoja na kumsifu Magufuli, lakini tukumbuke tu huo mradi ni wa Utawala wa Kikwete ambao Magufuli alihudumu kama Waziri.
Mimi napongeza zaidi yule anayebuni miradi na kuitafutia fedha.
View attachment 2103822
Pamoja na kumsifu Magufuli, lakini tukumbuke tu huo mradi ni wa Utawala wa Kikwete ambao Magufuli alihudumu kama Waziri.
Mimi napongeza zaidi yule anayebuni miradi na kuitafutia fedha.
....Madaraja ya juu..?Bwana Mayallla hapa Tanzania hakuna Interchange wala Flyovers ile ni High bridge ndugu,watu wanadangaywa tuu kwa kuwa uelewa wao ni mdogo..... mwisho sina ugomvi na miundombinu hiyo
Mafanikio ya waziri ni mafanikio ya rais aliyeko madarakani, maana waziri ni tarishi wa raisKwa mtu mwenye muono na fikra za kawaida, unaweza kujiuliza kwanini plan zimeanza wakati JPM akiwa waziri na mambo yakanoga wakijua anakuja kuwa Rais ajae.
2005-10 nchi hii ilikuwa na mawaziri wenye dhamani ya miundombinu 3
2005-07 Basil Mramba,
2007-07 Andrew Chenge
2007-10 Shukuru Kawambwa
Ukipima kazi yako kwa miaka 5 kuna any potential landmark waliyofanya ambayo JK anaweza kujivunia kwa kuwa na mmoja kati yao?
Ila 2010-15 unaona kuna lots of achievement ambazo JK ametabainisha mara kadhaa kuwa alitaka kuacha legacy kwenye kuunganisha barabara za mikoa. Kwanini ali-bank kwa JPM na sio Kawambwa au wenzake?
Basically JPM mara baada ya kuteuliwa 2010 kama waziri, alimteua Mfugale kuwa CEO wa Tanroad kama jembe lake na kaendelea na
kati ya 2016-2021 wizara ya miundombinu imekuwa na mawaziri 3, Prof. Mbarawa, Isaack Kamwele na Dr. Chamriho (tusimasahau Mfugale kama CEO)
Kuna nini cha kuonesha kama mawaziri ukimlinganisha na JPM akiwa waziri wa ujenzi 2010-15 au 2000-05?
Kwanini Anna Abdala, Nalaila Kiula na akina Mtemi Chenge, Mramba na Kawambwa hawakumbukwi sana?
The guy wa exceptional in pushing the bounds and spearheading delivearables.
Tubakiza charge ya simu na PC zetu, maana umeme wa sasa ni wa vibaba.