Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

Uchaguzi 2020 Je, Unaweza kupita Ubungo Interchange usiseme asante Magufuli? Mtakubaliana na mimi, asante stahiki ni kura zote kwa Magufuli

Lakini mbona hayo yote yalitafutiwa fedha na serikali ya Kikwete?, mimi ninachojua mradi wa ubungo ni mkopo fedha za worldbank na mradi uliandikwa na utawala wa Kikwete

Au kwa sababu ujenzi ulifanyika katika awamu ya Magufuli?

Mpishi na mpakuaji nani apewe sifa?
Wivu umekujaa SANA
 
Wanabodi, mimi ni miongoni mwa wana jf, tuliandika mengi kumhusu rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, hivyo kipindi hiki cha maombolezo, napitia baadhi ya mabandiko kwa ajili ya kumuaga rasmi.

Japo umetangulia, lakini kauli zako, maono yako na kile ulichokiamini, kitabaki na sisi Milele.
Sisi tulikupenda, lakini Mungu amekupenda zaidi.
Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Raha ya Milele Umpe Ee Bwana, na Mwanga wa Milele, Umuangazie, Apumzike kwa Amani...Amina x3.
RIP Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Buriani ya kuonana...
Paskali
Kila kitu kizuri alichokifanya kilikuwa kwa niaba ya Watanzania na siyo kwa ajili ya 'personal glory'. Hivyo, tukiona miundombinu nzuri tuone Tanzania yetu ilivyo nzuri.
 
Bwana Mayallla hapa Tanzania hakuna Interchange wala Flyovers ile ni High bridge ndugu,watu wanadangaywa tuu kwa kuwa uelewa wao ni mdogo..... mwisho sina ugomvi na miundombinu hiyo
 
Huwa nakumbuka kodi zangu na sio yeye, kwani alijenga kwa fedha zake za mfukoni?
Kwanza hili daraja liliasisiwa wakati wa Kikwete, mwendazake alipenda masifa na kusifiwa kuliko hata Mola!
 
Bwana Mayallla hapa Tanzania hakuna Interchange wala Flyovers ile ni High bridge ndugu,watu wanadangaywa tuu kwa kuwa uelewa wao ni mdogo..... mwisho sina ugomvi na miundombinu hiyo
Hata kama wangeita ngazi ama kivuko, Kuna shida yeyote?? Walifanya kulingana na uwezo uliokuwepo na hakika tunawapongeza sana
 
Leo nimepita Tanzanite Bridge, nikamkumbuka JPM, kwa yeyote anayekatiza hapo, lazima atamkumbuka JPM na kumshukuru japo kimoyo moyo. JPM ameacha alama.
RIP JPM.
P
Boss wa CRDB wa sasa kupitia ukurasa wake wa instagram, salam za pongezi sivyo kama Paskali uonavyo.

Kuna shida gani kwa Watanzania kushindwa ku-acknowledge kazi ambayo mtu kaiasisi na kuhakikisha ina-take shape kwa asilimia za kutosha.

Mathalani, Kagamboni Bridge au Nyerere bridge japi imekamilika na kuzinduliwa na JPM ni landmark ya JK.

Mloganzila Hospital ni landmark ya JK japo imeanza kutumika enzi ya JPM. Kuna nyakati watu wanakuwa tabia za uchawa, kujipendekeza mpaka wanapoza heshima ambayo wameijenga kwenye jamii.
 
View attachment 2103822

Pamoja na kumsifu Magufuli, lakini tukumbuke tu huo mradi ni wa Utawala wa Kikwete ambao Magufuli alihudumu kama Waziri.

Mimi napongeza zaidi yule anayebuni miradi na kuitafutia fedha.
Kwa mtu mwenye muono na fikra za kawaida, unaweza kujiuliza kwanini plan zimeanza wakati JPM akiwa waziri na mambo yakanoga wakijua anakuja kuwa Rais ajae.

2005-10 nchi hii ilikuwa na mawaziri wenye dhamani ya miundombinu 3
2005-07 Basil Mramba,
2007-07 Andrew Chenge
2007-10 Shukuru Kawambwa
Ukipima kazi yako kwa miaka 5 kuna any potential landmark waliyofanya ambayo JK anaweza kujivunia kwa kuwa na mmoja kati yao?

Ila 2010-15 unaona kuna lots of achievement ambazo JK ametabainisha mara kadhaa kuwa alitaka kuacha legacy kwenye kuunganisha barabara za mikoa. Kwanini ali-bank kwa JPM na sio Kawambwa au wenzake?
Basically JPM mara baada ya kuteuliwa 2010 kama waziri, alimteua Mfugale kuwa CEO wa Tanroad kama jembe lake na kaendelea na

kati ya 2016-2021 wizara ya miundombinu imekuwa na mawaziri 3, Prof. Mbarawa, Isaack Kamwele na Dr. Chamriho (tusimasahau Mfugale kama CEO)
Kuna nini cha kuonesha kama mawaziri ukimlinganisha na JPM akiwa waziri wa ujenzi 2010-15 au 2000-05?
Kwanini Anna Abdala, Nalaila Kiula na akina Mtemi Chenge, Mramba na Kawambwa hawakumbukwi sana?

The guy wa exceptional in pushing the bounds and spearheading delivearables.

Tubakiza charge ya simu na PC zetu, maana umeme wa sasa ni wa vibaba.
 
Mkuu

Punguza mahaba

Hilo daraja limejengwa na Magufuli

Hizo fedha unazojaribu kutuaminisha hapo

zilipelekwa kwenye mambo mengine kabisa.

Hiyo awamu ya 4 iliondoka hazina haikuacha kitu.

Danganya watoto au watu ambao hawako “
“connected”.

Shukrani!
 
Huo ni upuuzi mtupu, ni sawa na kuishukuru ATM kwa kukupa hela yako.
 
Kwa mtu mwenye muono na fikra za kawaida, unaweza kujiuliza kwanini plan zimeanza wakati JPM akiwa waziri na mambo yakanoga wakijua anakuja kuwa Rais ajae.

2005-10 nchi hii ilikuwa na mawaziri wenye dhamani ya miundombinu 3
2005-07 Basil Mramba,
2007-07 Andrew Chenge
2007-10 Shukuru Kawambwa
Ukipima kazi yako kwa miaka 5 kuna any potential landmark waliyofanya ambayo JK anaweza kujivunia kwa kuwa na mmoja kati yao?

Ila 2010-15 unaona kuna lots of achievement ambazo JK ametabainisha mara kadhaa kuwa alitaka kuacha legacy kwenye kuunganisha barabara za mikoa. Kwanini ali-bank kwa JPM na sio Kawambwa au wenzake?
Basically JPM mara baada ya kuteuliwa 2010 kama waziri, alimteua Mfugale kuwa CEO wa Tanroad kama jembe lake na kaendelea na

kati ya 2016-2021 wizara ya miundombinu imekuwa na mawaziri 3, Prof. Mbarawa, Isaack Kamwele na Dr. Chamriho (tusimasahau Mfugale kama CEO)
Kuna nini cha kuonesha kama mawaziri ukimlinganisha na JPM akiwa waziri wa ujenzi 2010-15 au 2000-05?
Kwanini Anna Abdala, Nalaila Kiula na akina Mtemi Chenge, Mramba na Kawambwa hawakumbukwi sana?

The guy wa exceptional in pushing the bounds and spearheading delivearables.

Tubakiza charge ya simu na PC zetu, maana umeme wa sasa ni wa vibaba.
Mafanikio ya waziri ni mafanikio ya rais aliyeko madarakani, maana waziri ni tarishi wa rais
 
Back
Top Bottom