Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #141
Yaani ukijumlisha na gharama ya fundi haifiki 50[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani ukijumlisha na gharama ya fundi haifiki 50[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
Hakuna namna anaweza saidika mtu wa hivyo?Jamaa yetu mmoja ni mlevi mbwa (laana ya mamaake) ....Ni yeye na vikali tu lakini mpaka leo yuko hai hajafa ila hana mbelee hana nyuma...uzuri wake hakopi pombe haombi pombe anakunywa pesa yake tuu
Mamake bado yuhai?Imeshindikana aisee
Nadhani wamefunga defense kwenye maisha yao tayari... Yani ukiona mtu amefanikiwa na akadumu na hayo mafanikio, basi hapo ameshajiweka sawa.Kuna mtu Niliwahi kumsikia akisema eti mabilionea huwa hawarogwi. Uchawi hauendi kwa mtu mwenye pesa, wanaorogwa ni akina pangu pakavu tia mchuzi. Mfano wahindi wale matajiri wenye maduka makubwa mjini, watu wenye makampuni makubwa kama akina MoDewji, Manji n.k, huwezi kukuta karogwa kizembezembe.
Mkuu hili unaliongeleaje?
Ameshatangulia mbele za haki na tatizo inasemekana lilianzia hapo.. Mama akiwa mgonjwa kitandani alimuomba asiondoke kwenda bar ili wabaki wote. Jamaa akagoma na kusema hatachelewa lakini si unajua mambo ya bara tenaMamake bado yuhai?
Nimemuhurumia dah!
Dunia ngumu sana hii.
Tatizo liko kwenye gharama mwenzako kila wiki anaangusha mbuzi kadhaa na kila mwezi anaangusha ng'ombe utashindana naye huyo na kuku wako mmoja wa kuotea?Nadhani wamefunga defense kwenye maisha yao tayari... Yani ukiona mtu amefanikiwa na akadumu na hayo mafanikio, basi hapo ameshajiweka sawa.
Kombora likitumwa linarudi au linafeli
Sahihi kabisa mshana,hapo umemaliza sina cha kuongeza.Nimeamua kuandika mada kutokana na tatizo la mmoja wetu hapa JF kule kwenye mada ya pombe na wanywaji/walevi.
Huyo ndugu yetu ana tatizo na ulevi, hana control na kila akilewa hufanya mambo ya ajabu ambayo mengine huhatarisha maisha yake na uharibifu wa mali na usumbufu kwa wengine.
Pamoja na kwamba wengi wetu wanapinga uwepo wa uchawi na ushirikina lakini haya mambo yapo katika maisha yetu ya kila siku...lakini wakati huohuo kukiwa na upotoshaji mwingi pia kwenye dhana nzima ya uchawi ama ushirikina na waathirika wake.
Iko hivi uchawi pamoja na kwamba kwa sehemu kubwa sana ni kuharibu lakini kamwe hautumii njia ya starehe kuharibu...yaani
Huwezi kurogewa ngono
Huwezi kurogewa sigara
Huwezi kurogewa pombe
Huwezi kurogewa starehe ya aina yoyote hata kama matokeo ya mwishi yatakuwa na madhara
Viasili vya starehe huathiriwa na napepo. Kumbuka mapepo ni roho zinazotangatanga ambazo miili yake ilishakufa.
Kuna mapepo ya ngono, haya hutokanna kwa sehemu kubwa na uchafu wa kingono kuaparamia hovyo, yaani kuwa chovyachovya ama chovywa chovywa.
Mapepo ya vilevi mbalimbali kunenewa vibaya na wazazi, mabibi mababu kwa baadhi, hawa hutoa maonyo ya mara nyingi na maonyo yanapogonga mwamba hunena mabaya.
Hapa pia ishu ya laana huhusika yaani unalaaniwa pombe,sigara ngono nknk.
Inawezekana kabisa ulifanya kosa kubwa lililowaudhi wazazi na wao bila tafakuri ya kina huamua kulaani
Kuna watu wamelaaniwa pombe ..hawa hata iweje hawakosi pesa ya kunywa
Kuna watu wamelaaniwa ngono hawa walibaka wazazi ama wazazi wa wazazi wake
Ni mara chache mno kukuta mtu karogewa chanzo cha starehe kwakuwa uchawi msingi wake ni kuharibu na kuleta maumivu tangu mwanzo mpaka mwisho..na si starehe kwanza kisha maumivu baadae.
kanuga upooo!
Top kabisa.Haramu hairogwi ....take it from me...hayo ni mapepo na laana...kama umeambiwa hivyo umeongopewa pakubwa
Damu ya Yesu yatosha. Achana na ushirikina. Omba kwa jina la Yesu atakusaidia. Pia okoka mpe Yesu maisha yako nawe utakuwa salama. Waganga watakumalizia hela tu wakati na wao wana laana kibao.Kuifuta hiyo laana nini kifanyike mkuu
Anasaidika vizuri tu. Kwa Mshana haiwezekani ila kwa Mungu yoooote yanawezekana. Maombi maombi maombi yatamtoa kwenye hiyo laana.Mamake bado yuhai?
Nimemuhurumia dah!
Dunia ngumu sana hii.
Wambie mkuu watu tuna ishuhuda omba yasikukute.watu wa kalibu ndo adui zetuHii ni mada Fikirishi sana ukiangalia na yanayotokea kwenye jamii zetu na mikasa mbalimbali inayowakumba watu. Kama hayajakufika shukuru Mungu.
Kongole kwà Mshana Jr , kutuletea vitu vyenye kujenga na sio, watu kuwaza "kula tunda ki masihara"
KARIBU KWA YESU, NJOO KWA MUNGU.Asante kaka mshana ...Uzi wangu huu
Andika Mtumishi watu wapone.Kuna kitu nataka kuandika lakini naona shetani anajaribu kunizuia, ngoja niendelee kumsihii Roho wa Mungu... Nitakiandika tu akinipa kibali.. ILA NGUVU ZA GIZA NI MBAYA SANA, NA MWISHO WAKE NI DAMU TAKATIFU YA MWANA WA MUNGU.
TUBUNI NA MREJEE KWA MUNGU
Ni mpaka azijue codes za kufungua uchawi.Hakuna namna anaweza saidika mtu wa hivyo?
Dunia ngumu sana hii...
Amtamfute Musa Chesa kiboko ya nguvu za giza na uchawi wote atamfunguaImeshindikana aisee