Je, unaweza kurogewa viwakilishi vya starehe?

Tafakari yangu ktk hili huwezi logewe pombe, sigara, ngono nk sababu hiz tayari ni njia zinazomridhisha na ahadi yake ni kuwapotosha watu wasimtegemee mola wao mlezi hivyo lzima utolewe kwenye haki uingie kwenye ubatili
 
Bado kuna shida hapa. Ni vigumu kujaji kama unavyofanya hapo. Si unaona huyo jamaa ulevi umekuwa shida sasa? Kwahiyo, kama mwenyewe usemavyo, uchawi husababisha maumivu, si hayo sasa, au? Hata mwizi, yupo ambae anaibaaaa, anakula maishaaaa kisha matatizo yanaanza. Utasemaje kesi kama hii? Hata ngono, utapiga wake wa watuuuuu, siku unanasa, mnaenda kuchomolewa kwa mganga.

Hapa sina lolote nijualo kuhusu uchawi. Sema ninajibu kwa kutumia mantiki kulingana na ulichoandika
 
Pole ndu,. Bola wewe Mimi nina miaka 35 nimeshakutana namat
ukio makubwa makubwa kwenye ulevu,. Izosimu nimesha poteza sio chini yakumi, aupo pekeyako kiongozi tupo wengi
 
Tafakari yangu ktk hili huwezi logewe pombe, sigara, ngono nk sababu hiz tayari ni njia zinazomridhisha na ahadi yake ni kuwapotosha watu wasimtegemee mola wao mlezi hivyo lzima utolewe kwenye haki uingie kwenye ubatili
Sahihi kabisa [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
OK sawa!
 
Pombe sigara ngono! Ni vitu vinavyo mkwamisha sana mtu yoyote anaejinasibisha navyo.

Bahati mbaya kidogo mtu yoyote anaye anza kutumia vitu hivyo mara nyingi sana kuviacha kwa wakati mmoja ni changamoto sana.

Bahati mbaya nyingine hivi vinaushika kiasi cha kwamba ukitumia kimoja lazima kikielekeze kutumia l
Kingine!

Kwa wenye imani ya kidini imekua njia rahisi kwa mwathirika kuweza kuacha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…