Je, Unaweza Kuwa Jasusi Bila Kujijua? πŸ€”

ndugu mdau,
hoja mahususi kama hizi zinahitaji kongamano kabisa kama lile la TCD.

kwasababu mambo ya strategy, safety and security management ni muhimu yakaelezwa na wabobevu waandamizi wa masuala ya kiusalama kabla ya wanasiasa na wanaharakati kugusa kugasa kwa pembeni.

hata na hivyo,
nafuatilia kwa karibu kuona namna wabobevu waandamizi wa JF katika masuala ya kiusalama wanavyodadavua jambo hili ambalo ni very interesting πŸ’
 
Wewe hutaki kuchangia ewe ndugu mdau au mada ni nzito kwa upande wako?
 
Hiyo tafsiri ni kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili au ni tafsiri yako binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…