Je, unaweza kuwa na mwanaume ambaye muda wote anaomba kinyume na maumbile?

Bora wewe umesema ukweli kuwa wadada wengi hawapendi.
Sasa wenzako humu kila siku wanasema wadada ndo wanawalazimisha.
Ni kweli wapo wadada wanaoshawishi wanaume wawaingilie kinyume na maumbile (anal queens), ila ni wachache sana Demi
 
Huo ni Uchafu wa hali ya juu!!!
kama huna ndoa piga chini haraka; Mume mwema hutoka kwa Mungu huyo wa hivyo simuoni akitoka kwa Mungu. Kama unandoa, mwambie utamsemea
Usikubali kabisa huo mchezo ni dhambi kubwa na utakupa matatizo na pengine akuchukie/akuache
 
Duh hapa Sasa ndo barazani pa wenye mizaha
 
kama huna ndoa piga chini haraka; Mume mwema hutoka kwa Mungu huyo wa hivyo simuoni akitoka kwa Mungu
Kama unandoa, mwambie utamsemea
Usikubali kabisa huo mchezo ni dhambi kubwa na utakupa matatizo na pengine akuchukie/akuache
Acha kuwafundisha wenzako tabia mbaya huo ni ubinafsi
 
Unaweza kuwa kile una angalia .....Jiulize una angaliaga nn ?
Unachokiangalia na kutafuna muda wako ndio una kiabudu ( Mungu wako ).
#Hata humu wafiraji wapo
 
naufatilia huu mtanange kwa ukaribu kabisa #Reptilia_mtu kazi
 
Solution apo ni either umpe akutatue marinda au kama hutaki achana nae tafta mwingine. Na akionja tu hatoacha
 
Tangazo murua kabisa nimelipenda [emoji39]
 
Kwani dada iyo mbuzi ndo tegemeo lako la kuendesha maisha? Unasuburi Nini kumwacha.

Wafiraji hawatauona ufalme wa Mungu
Kwa hiyo wanaotombana kwa njia ya kawaida ndo wataingia mbinguni?
Acheni kudanganya watu hakuna dhambi kubwa na ndogo acheni watu wagusanishe vijambio vyao kwa raha zao maisha yenyewe mafupi
 
Kwa hiyo wanaotombana kwa njia ya kawaida ndo wataingia mbinguni?
Acheni kudanganya watu hakuna dhambi kubwa na ndogo acheni watu wagusanishe vijambio vyao kwa raha zao maisha yenyewe mafupi
Ndio maana ukajiita mbwa Dume nadhani unazijua sifa za mbwa na wewe kweli ni mbwa.
Wafiraji kama wewe Hawatouna ufalme wa mbinguni. Case closed 🔐
 
Unampa tu hata mara moja moja ili atulie kuliko unambania akienda kwa Aisha ananyonywa pummbu na anapulizwa kijambio chake anapewa na tigo kwa nini asihamie huko akuterekeze na familia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…