Ngumu sana inahitaji modification ya hali ya juu ili engine ikae
Brevis inavuta nyuma
Hizo unazotaja zinavuta tyre za mbele...
DaaahBaki nayo hivyo hivyo mkuu....ukifanya utakacho fanya hautakaa ukaenjoy hiyo brevis mkuu...mwanaume kupambana.
Kabisaa...
Wakuu samahan kwa kuandika huu uzi usiku usiku... Nina jamaa yangu Kapatwa na matatizo ya Kuyumba kiuchumi. Anataka aniuzie Brevis yake ambayo kimsingi engine yake ni 2.5L na mimi kwa kweli Hapa ndo sipawezi.
Ila ni muda mrefu kweli nalitaman hili dude hasa lilivyo ndani na comfortability yake. Sasa je naweza kumpa hiyo Mill 5 niibebe kisha nikaweka engine ya Carina TI au Premio?
Sent using Jamii Forums mobile app
rpm ni Kitu gani Mkuu, Ufafanizi kidogo maana hapa ni shule?Write your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy . inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200
Highway ipi? Umbali upi? Tupe uzoefu wa trip za city(mjini)...kwenye foleni na kiyoyozi juuWrite your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy . inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200