Je, unaweza kuweka Engine ya premio au Carina Ti kwenye Brevis?

CHIBA One

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2018
Posts
558
Reaction score
2,093
Wakuu samahan kwa kuandika huu uzi usiku usiku... Nina jamaa yangu Kapatwa na matatizo ya Kuyumba kiuchumi. Anataka aniuzie Brevis yake ambayo kimsingi engine yake ni 2.5L na mimi kwa kweli Hapa ndo sipawezi.

Ila ni muda mrefu kweli nalitaman hili dude hasa lilivyo ndani na comfortability yake. Sasa je naweza kumpa hiyo Mill 5 niibebe kisha nikaweka engine ya Carina TI au Premio?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itafanya kazi vizuri sana. Bora ni uangalie engine yenye unatoa kwa gari yako iko na CC ngapi na yenye unaweka iko na ngapi?
 
Duuuh.. Kwa mfano engine gani ambayo inaweza kukubakika hapo mkuu? Vp engine ya Gx 110? Ambayo ni 2.0L? Na kwa kusema hvo maana yake engine ya carina na premio haiwezekani kabisa?
Ngumu sana inahitaji modification ya hali ya juu ili engine ikae

Brevis inavuta nyuma

Hizo unazotaja zinavuta tyre za mbele...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy.

Inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200
 
Gari utanunua kwa 5M na kuyafanya hayo unaweza jikuta unatumia 3M bora utafute gari nyingibe utakayoiweza kama ishu ni muonekano wa ndani na kutulia chukua hata Mark 2 iko poa na injini haili sana wese.

NB:Sina ndinga ila napiga sana misele na ndinga za wana [emoji16][emoji16][emoji16]
Wakuu samahan kwa kuandika huu uzi usiku usiku... Nina jamaa yangu Kapatwa na matatizo ya Kuyumba kiuchumi. Anataka aniuzie Brevis yake ambayo kimsingi engine yake ni 2.5L na mimi kwa kweli Hapa ndo sipawezi.

Ila ni muda mrefu kweli nalitaman hili dude hasa lilivyo ndani na comfortability yake. Sasa je naweza kumpa hiyo Mill 5 niibebe kisha nikaweka engine ya Carina TI au Premio?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy . inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200
rpm ni Kitu gani Mkuu, Ufafanizi kidogo maana hapa ni shule?
 
Write your reply...walivyochangia wadau wako sahihi Kama umeipenda inunue na husibadilishe chochote itumie ikiwa hivyohivyo ndo utaenjoy . inshu ya mafuta siyo tabu Sana Kama unavyofikilia ukicheza na rpm kwa usahihi utatumia mafuta kidogo . me Nina progress ingine 1jz cc 2490 natembeaga kilomita 15 kwa Lita highway speed 80_110 rpm haizid 2200
Highway ipi? Umbali upi? Tupe uzoefu wa trip za city(mjini)...kwenye foleni na kiyoyozi juu
 
Back
Top Bottom