DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hello Kama mtu mpamanaji mwenye ndoto za Kupata Mafanikio ambayo yamesimama je unaweza kuyapata bila Nguvu za kiroho?
Hapa sizungumzii Mafanikio ya Nyumba gari na NO
Namaanisha Mafanikio Makubwa ya kuishi vizuri huku ukiwa Una uhakika hata ukilala kitandani miaka mitano bado Biashara zako zitaendelea kuleta pesa na Familia itakula kunywa bila wasiwasi wowote tishio la kufirisika.
Mimi nayatafsriri Mafanikio ya Maisha kwa Mtu ambaye anaweza kuifanya pesa Ikae upande wake hata kipindo Cha magonjwa na hata hakiondoka. Mfano mtu Kama Mengi n.k
Je bila Nguvu za kiroho this is possible?