Je unaweza pata mahusiano yanayoeleweka kupitia Dating Site?

Je unaweza pata mahusiano yanayoeleweka kupitia Dating Site?

Ulijuaje kama wanataka kupiga na kusepa, au walikwambia???
 
Kwani unapoishi hakuna watu hadi upoteze muda kwenye mitandao? Ni laana kiasi gani.
 
Mkuu...unataka nikutajie jina ...ili iweje....SITAKI
Wee tulia bwana hukonutapata decent guy muhimu tuu usianze na vibomu. Akisema mkutane jilipie nauli na msosi jilipie mwenyewe.
Get to know the person behind the persona na sio kuanza kumpa mwanaume majukumu ambayo sio yake. Fanya hivyo na ukikosa decent man njoo nakupa $1000,000
 
endelea kukaa huko kwenye dating site, KEI yako ifanywe shimo na pango la waasherati.
 
Back
Top Bottom