Chambusiso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2007
- 2,592
- 4,640
Basi bwana, mimi ni ke Nikasema nimekua single miaka 3 ngoja nijiunge dating site nione kama naweza pata mpnz.
Looooh....Najutraaa
Hivi unaweza pata mpnz wa na kuanzisha mahusiano kwenye dating app.?. Maana kila mmoja anataka kupiga na kusepa.
Je wapo waliopata wampenzi na mahusiano kwenye dating app?
Asante
Zama zimebadilika sana na yale mambo ya kizamani ya kupatia mke kanisani, kisimani, chuo yashapitwa na wakati! Maisha yamekuwa kidijitali na mawasiliano yamekua kiganjani so hata dating imachange sana! Kila anayetafuta anatumia njia anazohisi atapata so sio dhambi na wengi tu wameanzia huko na wakawa na maisha mema tu! Siku hizi sio ajabu kukuta mdada mzuri sana kanisani, chuo, hata kwa wazazi wake na baadaye usiku ukamkuta viwanja, so kwa sasa hamna formula wala kukariri eneo la kupatia mwenza