Je unaweza pata mahusiano yanayoeleweka kupitia Dating Site?

Wengi huko ni wagonjwa. Potezea. Ukipata muhimu sana pima afya. Pili wengi wao wanakuwa wamechokwa wanatafuta option
 
Mitandaoni ni biashara tu kama mtaani. Huko ni international business wakati mtaani ni local business. Hakuna mapenzi ya kweli siku hizi
 
sawa pole aisee
sasa hesabu tatizo lako limeisha
ingia dm
ila mambo ya kuishiwa gesi sijui ada ya mdogoako imepungua yape break kwanza
maana waswahili hamkawiišŸ˜‚
kingne tackle lipo mkuu?
 
wengi wanaoenda kutafuta wapenzi huko huwa wanatarget kupata wazungu
wapuuzi kweli hlf wakiwa kule ukiwatext hawajibu sms za sisi weusi wenzao wanauchuna kimya kama hawazioni vile. ukitaka kujua kama anaona sms na anazipuuzia wew jaribu umtukane mtusi mzito wa kumwuuma apo lazma akujibu🤣pambafff

mambo yakibuma kabisa ndo wanakuja huku kama hivi na apo ukimpekua sana utakuta ameshazalishwa ana katoto kachanga hom baba wa mwana alishasepa zake, saivi ukute anatafuta mlezi mpya wa mtoto wa baba aliesepa mazima. daah haya maisha acha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…