Mimi nilijua wewe ndio unstuelimisha kumbe hujui kama Mimi. Basi ngoja waje wajuzi
Salaam wakuu,
Kila rais duniani anakuwa na Walinzi wake maarufu kama bodigadi. Kama unakumbuka Gaddafi, yeye alikuwa na mabodigadi wa kike na inasemekana aliweza kutembea na walinzi wasiopungua 200.
Je, unazifahamu ni sifa zipi huhitajika ili kuwa mlinzi wa rais? Ni Mafunzo gani watu hawa muhimu huyapitia? Unajua ni kwa nini wengi wa walinzi hawa ni wa Jinsia ya kiume?
Ni lazima uwe mlinzi ktk idara ya usalama wa taifa....then miongoni mwao ndo hupata zari la kuchaguliwa na viongozi wao kuwa walinzi wa rais.....
Vetting ya mlinzi wa rais nani anafanya? Kwa vigezo gani?
Marais lazima wawe na ulinzi wa hali ya juu, inategemea nchi na nchi kwa mfano Israel lazima uchukue diploma na mafunzo ya hali ya juu na ipo shule wanayojiunga.
Bodyguards wana kazi nzito sana ya kumlinda Rais kila alipo iwe anatembea, kwenye gari, ndege, na hata majini kote huko kuna special training ambapo kupasi hizo inahitaji uwe umemkaribia kidogo Jackie Chan
Mkuu UNATAKA Watu WAFUATILIWE Na WAFUKUZWE KAZI? Mbona Maswali Yenu MNAYAULIZA Kipindi NYETI Na KIBAYA Kama Hiki? Mna AGENDA Gani? Kuna Mtu Labda MNAPANGA KUMPINDUA Hivyo MNATAKA Mjue MAUJUZI Mapema Hii? Mbona Hamuulizii Nani Alimfanyia Vetting Mvi Alipohamia Kwa WAKIWA? Ni Vigezo Gani WAKIWA Walivitumia Kumpitisha? ( Am Just Kidding Friend Never Mind ).
- High Concetration Level
- Intelligent
- Versatile
- Maximum Endurance Level
- Educated Enough i.e. All Rounder / Knowledgeable Enough
- Physically Fit
- Loyalist
Hupata MAFUNZO Sawa Sawa Na Ya Special Force Namaanisha Commando Kisha Mbeleni Hugawanywa Na Kufanya VIP Protection Course Ambayo Na Yenyewe Ina STEPS Zake ( Ambazo Kimaadili Ya Fani Husika Nachelea Kuyaweka Hapa ) Na Kwanini Walinzi Wengi Ni Jinsia Ya KIUME Jibu Haliko Mbali Sana Na Uhalisia Wa Kimaumbile Na Baiolojia Ya Dada Zetu Na Sisi Wanaume Na Mara Nyingi Sana Mabodyguard Wengi Wa Kike Huwa Wanakuwa Wamesha Sacrifice Hata Kuja Kupata Watoto Hapo Baadae Kwani Kwa Aina Ya MAZOEZI Na UGUMU Wake Automatically Mayai Yao HUTOWEKA Na Hujikuta Pia Wana Adopt Tabia Za UGUMU, Maisha Na Uhalisia Wa Mwanaume Na Kuna Wakati Wanaweza Wakawa Wamekaa Na Ma Bodyguard Wa KIUME Lakini Ukiwaona Kama Huna UZOEFU Nao Ukashindwa Kuwatofautisha Kujua Mwanaume Pale Ni Yupi Na Mwanamke Ni Yupi. Mfano Mdogo Tu Angalia au Tafuta Picha Za Yule Dada Aliyekuwa MLINZI Wa Mke Wa Mkapa Halafu Chukua Na Picha Ya Yule Aliyekuwa ADC Wa Mkapa Afande Mzee Emanuel Simule Kisha Walinganishe Utaelewa Nilichokifafanua Hapa. Nadhani Kidogo Nimejaribu Kukujibu Na Ngoja Niwapishe Sasa Wenyewe WAKUJUZE Zaidi.