Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

Hili POPOMA Gentamycine kiasi fulani liko vizuri. Ila tu nauliza kama anajua karate mbona kafumaniwa na kupelekeshwa na mwanamke asiyejua hata kwata namba moja ?

Zile Huwa Ni Story Tu Za Kuchangamsha GENGE Ila Hapa AKILI Zangu Zote ZIMETULIA Na NAJIBU KWA ADABU Zote Na At My Level Best Japo MAUJUZI Yote Hayo NIMEYAPATIA Tu Katika Sinema Zetu Hizi Za KIJASUSI Hivyo MSIJE MKANIHISI Vibaya Bure Kwani HAMKAWII Kuanza KUZUSHA Ya KUZUSHA Hasa POPOMA Wewe SOGHOO.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Salaam wakuu,

Kila rais duniani anakuwa na Walinzi wake maarufu kama bodigadi. Kama unakumbuka Gaddafi, yeye alikuwa na mabodigadi wa kike na inasemekana aliweza kutembea na walinzi wasiopungua 200.

Je, unazifahamu ni sifa zipi huhitajika ili kuwa mlinzi wa rais? Ni Mafunzo gani watu hawa muhimu huyapitia? Unajua ni kwa nini wengi wa walinzi hawa ni wa Jinsia ya kiume?

sasa kama hujui uliweka ya nini mada hii?
 
Ila jamani duniani kuna watu waongo kipindi kile obama amekuja tanzania wakaanza kusema eti kuna walinzi wengine wanao mlinda obama wametoka sayari nyingine kwasababu hapa duniani hawajahi kuonekana sehemu yoyote na wakasema kuna majamaa wengine wanao mlinda obams wanaongozwa na computer tu wenyewe hawajitambui.
 
sasa kama hujui uliweka ya nini mada hii?

Sasa Bila Kuuliza Angejua Wapi? Swali Lako Ni Sawa Na Kuuliza Tunaenda Shule Kufanya Nini Wakati Tumezaliwa Tuna AKILI Zetu? Kuuliza Si Ujinga Mkuu Japo Nina UHAKIKA ULIOTUKUKA Kuwa Mleta UZI Ni Mtu Wa IDARANI Huko Huko ILA Anatusanifu Tu Lakini Na Sisi MASELA Tumemdhihirishia Kuwa JAPO Tuko Nje Na Ya Huko WALIPO Wao TISS Na PSU Hatuyajui Ila Kwa Ujanja Na Utundu Wetu ULIOTUKUKA Hata Sisi Pia Tunayajuajua Kidogo.
 
Ha ha haaaaa, umetumia vigezo gani kusema mie ni mtu wa huko huko? Mi ni mnywa kahawa tu wa Kwa mama Chaudele, sina lolote
 
Sawa POPOMA Molembe ILA Usiridhike Na UFAFANUZI Wangu Huo Wa Mlimani City CINEMA Hall Bali Wasubirie Sasa Wenyewe Wenye FANI Yao Hiyo Kutoka Katika Hizo IDARA Na Hasa Hicho Kitengo WATAKUJA Na MAJIBU Mazuri Na Ya Kina. Baadhi Yao Ni Super Handsome, kadoda11, Mussolin5 Na nifah.
oya POPOMA acha kunipa sifa zisiso nihusu,sipo kwenye hicho kitengo na wala sijihusishi na hayo mambo.

fani yangu ni uvuvi kama ninavyo onekana ktk picha.
IMG_7991.JPG

karibu kwetu ziwa nyasa tuvue dagaa aka "uhipa".
 
Na Bahati Nzuri Sana Hata Watu Wa Huko IDARANI Kwenu TISS Huku Mitaani Kwetu Wanaitwa " WAVUVI " Hivyo Kwa Kuniwekea Kwako Tu Hiyo Picha Ukiwa UNAVUA Umeshanithibitishia Kuwa Wewe Ni Mwana TISS Kitengo Cha IT. Hongera Sana Mkuu Hebu Nitafutie Basi Na Mimi KIBARUA Huko Hata Cha KUFAGIA Tu au Kupiga DEKI. Nimeipenda Mno Picha Yako Ya Katika Whatssap Profile Yako Na Siku Nyingine Unabadilisha Na Kuweka Picha Ya Mwanao Aliyezaliwa. Nakukubali Mkuu Na Hakika UMEFUZU Katika Fani Yenu Hiyo Ya UJASUSI.
 
Naona unawatafuta migebuka!!!
hapana mkuu,lake nyasa hatuna migebuka,migebuka ni lake tanganyika.sisi huku ni samaki dagaa(uhipa/sipa),mbelele,mbufu,mbasa,masangalafu na aina tele ya samaki wanaopitakana ziwa nyasa ambao mimi binafsi majina yao siyafahamu.

hapa nipo na jamaa zangu wa kule ziwani,tukifurahi pamoja baada ya shughuli nzito ya uvuvi.
wachuuzi-samaki-nyasa.jpg
 
Naamini Kuwa Hapo Utapata Taarifa Kamili Za KIINTELINJENSIA Kama Siyo Za KIJASUSI Kisha Upeleke Ripoti Kwa Othman au Mombo. Safi Sana Nafurahi Kuona Vijana MKIWAJIBIKA Namna Hii. Nisalimie Mno RSO Wako Hapo Mkoani Ulipo Mkuu. Nilitamani Sana Nikuombe Uniletee Samaki Ila Tatizo Sina FRIJI Na SIJAOA Bado Hivyo Nitawatesa Tu Bure Hao Samaki Japo Watakuja Wakiwa WAMESHAKUFA!
 
Ila jamani duniani kuna watu waongo kipindi kile obama amekuja tanzania wakaanza kusema eti kuna walinzi wengine wanao mlinda obama wametoka sayari nyingine kwasababu hapa duniani hawajahi kuonekana sehemu yoyote na wakasema kuna majamaa wengine wanao mlinda obams wanaongozwa na computer tu wenyewe hawajitambui.

eheheh hao uongo walzidi mkuu,hao sayari ingine watakuwa aliens hao ehehe
 
Mkuu UNATAKA Watu WAFUATILIWE Na WAFUKUZWE KAZI? Mbona Maswali Yenu MNAYAULIZA Kipindi NYETI Na KIBAYA Kama Hiki? Mna AGENDA Gani? Kuna Mtu Labda MNAPANGA KUMPINDUA Hivyo MNATAKA Mjue MAUJUZI Mapema Hii? Mbona Hamuulizii Nani Alimfanyia Vetting Mvi Alipohamia Kwa WAKIWA? Ni Vigezo Gani WAKIWA Walivitumia Kumpitisha? ( Am Just Kidding Friend Never Mind ).
Umenifurahisha kwa namna ulivyotafakari.
 
  • High Concetration Level
  • Intelligent
  • Versatile
  • Maximum Endurance Level
  • Educated Enough i.e. All Rounder / Knowledgeable Enough
  • Physically Fit
  • Loyalist

Hupata MAFUNZO Sawa Sawa Na Ya Special Force Namaanisha Commando Kisha Mbeleni Hugawanywa Na Kufanya VIP Protection Course Ambayo Na Yenyewe Ina STEPS Zake ( Ambazo Kimaadili Ya Fani Husika Nachelea Kuyaweka Hapa ) Na Kwanini Walinzi Wengi Ni Jinsia Ya KIUME Jibu Haliko Mbali Sana Na Uhalisia Wa Kimaumbile Na Baiolojia Ya Dada Zetu Na Sisi Wanaume Na Mara Nyingi Sana Mabodyguard Wengi Wa Kike Huwa Wanakuwa Wamesha Sacrifice Hata Kuja Kupata Watoto Hapo Baadae Kwani Kwa Aina Ya MAZOEZI Na UGUMU Wake Automatically Mayai Yao HUTOWEKA Na Hujikuta Pia Wana Adopt Tabia Za UGUMU, Maisha Na Uhalisia Wa Mwanaume Na Kuna Wakati Wanaweza Wakawa Wamekaa Na Ma Bodyguard Wa KIUME Lakini Ukiwaona Kama Huna UZOEFU Nao Ukashindwa Kuwatofautisha Kujua Mwanaume Pale Ni Yupi Na Mwanamke Ni Yupi. Mfano Mdogo Tu Angalia au Tafuta Picha Za Yule Dada Aliyekuwa MLINZI Wa Mke Wa Mkapa Halafu Chukua Na Picha Ya Yule Aliyekuwa ADC Wa Mkapa Afande Mzee Emanuel Simule Kisha Walinganishe Utaelewa Nilichokifafanua Hapa. Nadhani Kidogo Nimejaribu Kukujibu Na Ngoja Niwapishe Sasa Wenyewe WAKUJUZE Zaidi.

Asante kwa maelezo yako yamenipa knowledge ambayo sikuwa nayo
 
Ila jamani duniani kuna watu waongo kipindi kile obama amekuja tanzania wakaanza kusema eti kuna walinzi wengine wanao mlinda obama wametoka sayari nyingine kwasababu hapa duniani hawajahi kuonekana sehemu yoyote na wakasema kuna majamaa wengine wanao mlinda obams wanaongozwa na computer tu wenyewe hawajitambui.

Mkuu mbavu sina
 
Salaam wakuu,

Kila rais duniani anakuwa na Walinzi wake maarufu kama bodigadi. Kama unakumbuka Gaddafi, yeye alikuwa na mabodigadi wa kike na inasemekana aliweza kutembea na walinzi wasiopungua 200.

Je, unazifahamu ni sifa zipi huhitajika ili kuwa mlinzi wa rais? Ni Mafunzo gani watu hawa muhimu huyapitia? Unajua ni kwa nini wengi wa walinzi hawa ni wa Jinsia ya kiume?
sifa kuu ya kwanza ni kua msiri na hili ndio linafanya mpaka sasa wausika wasichangie
 
Zile Huwa Ni Story Tu Za Kuchangamsha GENGE Ila Hapa AKILI Zangu Zote ZIMETULIA Na NAJIBU KWA ADABU Zote Na At My Level Best Japo MAUJUZI Yote Hayo NIMEYAPATIA Tu Katika Sinema Zetu Hizi Za KIJASUSI Hivyo MSIJE MKANIHISI Vibaya Bure Kwani HAMKAWII Kuanza KUZUSHA Ya KUZUSHA Hasa POPOMA Wewe SOGHOO.

Mkuu naomba best five zako za movie za kijasusi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom