Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

sifa kuu ya kwanza ni kua msiri na hili ndio linafanya mpaka sasa wausika wasichangie

Ingekuwa Ni SIRI Kamwe Wasingekuwa Wanatuambia Na Kuturopokea Wanayoyafanya Humo Ofisini Kwao Makumbusho, Oysterbay, Kinondoni Makaburini, Stesheni Na Ubungo Maji Tena Wakiwa WAMELEWA CHAKARI, Bastola Zao Wamezianika Mezani Huku Pembeni Wakiwa Wamezungukwa Na VINCHECHEDE. Usipotoshe Watu Hakuna Siri Sasa Ndani Ya PSU au TISS Ila Tunachokifanya Ni Kuwatunzia Tu SIRI Zao Zingine KIMAADILI Kwa UZALENDO Wa KUIPENDA Nchi Tuliopewa Tukiwa Kama Watanzania Na Wao Wakiwa Ni MAKAMANDA Wetu WATIIFU Na WALIOTUKUKA.
 
Marais lazima wawe na ulinzi wa hali ya juu, inategemea nchi na nchi kwa mfano Israel lazima uchukue diploma na mafunzo ya hali ya juu na ipo shule wanayojiunga.
Bodyguards wana kazi nzito sana ya kumlinda Rais kila alipo iwe anatembea, kwenye gari, ndege, na hata majini kote huko kuna special training ambapo kupasi hizo inahitaji uwe umemkaribia kidogo Jackie Chan

Sio bluce Lee....??
 
Kila nchi duniani ina mfumo wa kuandaa walinzi wa rais mfano china huchukuliwa yatima na kupelekwa shule za kijeshi toka wadogo pamoja na mafunzo ya shule za kawaida ya kichipukizi hupewa mafunzo maalum.kabila alifanya hivyo lakini matatizo yalitokea baada ya kushawishiwa na bosi wake ambaye naye alipata matatizo.
 
  • High Concetration Level
  • Intelligent
  • Versatile
  • Maximum Endurance Level
  • Educated Enough i.e. All Rounder / Knowledgeable Enough
  • Physically Fit
  • Loyalist

Hupata MAFUNZO Sawa Sawa Na Ya Special Force Namaanisha Commando Kisha Mbeleni Hugawanywa Na Kufanya VIP Protection Course Ambayo Na Yenyewe Ina STEPS Zake ( Ambazo Kimaadili Ya Fani Husika Nachelea Kuyaweka Hapa ) Na Kwanini Walinzi Wengi Ni Jinsia Ya KIUME Jibu Haliko Mbali Sana Na Uhalisia Wa Kimaumbile Na Baiolojia Ya Dada Zetu Na Sisi Wanaume Na Mara Nyingi Sana Mabodyguard Wengi Wa Kike Huwa Wanakuwa Wamesha Sacrifice Hata Kuja Kupata Watoto Hapo Baadae Kwani Kwa Aina Ya MAZOEZI Na UGUMU Wake Automatically Mayai Yao HUTOWEKA Na Hujikuta Pia Wana Adopt Tabia Za UGUMU, Maisha Na Uhalisia Wa Mwanaume Na Kuna Wakati Wanaweza Wakawa Wamekaa Na Ma Bodyguard Wa KIUME Lakini Ukiwaona Kama Huna UZOEFU Nao Ukashindwa Kuwatofautisha Kujua Mwanaume Pale Ni Yupi Na Mwanamke Ni Yupi. Mfano Mdogo Tu Angalia au Tafuta Picha Za Yule Dada Aliyekuwa MLINZI Wa Mke Wa Mkapa Halafu Chukua Na Picha Ya Yule Aliyekuwa ADC Wa Mkapa Afande Mzee Emanuel Simule Kisha Walinganishe Utaelewa Nilichokifafanua Hapa. Nadhani Kidogo Nimejaribu Kukujibu Na Ngoja Niwapishe Sasa Wenyewe WAKUJUZE Zaidi.

Katika ubora kamanda
 
Rais wetu analindwa na majini ya sheh yahya Hussein
 
Kuna uzi ulishawahi kuzungumzia hawa watu kwa kina..ni wa kitambo kidogo..
 
Zile Huwa Ni Story Tu Za Kuchangamsha GENGE Ila Hapa AKILI Zangu Zote ZIMETULIA Na NAJIBU KWA ADABU Zote Na At My Level Best Japo MAUJUZI Yote Hayo NIMEYAPATIA Tu Katika Sinema Zetu Hizi Za KIJASUSI Hivyo MSIJE MKANIHISI Vibaya Bure Kwani HAMKAWII Kuanza KUZUSHA Ya KUZUSHA Hasa POPOMA Wewe SOGHOO.

Habari mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Sifa za mlinzi wa Rais TZ

1. Mzalendo
2. hatumii madawa haram ya kulevya
3. hana majivuno
4. Mwenye kujituma na muwajibi9kaji
5. Ajitolee kufa kumoukoa kiongozi
6. nitaendelea.........
 
  • High Concetration Level
  • Intelligent
  • Versatile
  • Maximum Endurance Level
  • Educated Enough i.e. All Rounder / Knowledgeable Enough
  • Physically Fit
  • Loyalist

Hupata MAFUNZO Sawa Sawa Na Ya Special Force Namaanisha Commando Kisha Mbeleni Hugawanywa Na Kufanya VIP Protection Course Ambayo Na Yenyewe Ina STEPS Zake ( Ambazo Kimaadili Ya Fani Husika Nachelea Kuyaweka Hapa ) Na Kwanini Walinzi Wengi Ni Jinsia Ya KIUME Jibu Haliko Mbali Sana Na Uhalisia Wa Kimaumbile Na Baiolojia Ya Dada Zetu Na Sisi Wanaume Na Mara Nyingi Sana Mabodyguard Wengi Wa Kike Huwa Wanakuwa Wamesha Sacrifice Hata Kuja Kupata Watoto Hapo Baadae Kwani Kwa Aina Ya MAZOEZI Na UGUMU Wake Automatically Mayai Yao HUTOWEKA Na Hujikuta Pia Wana Adopt Tabia Za UGUMU, Maisha Na Uhalisia Wa Mwanaume Na Kuna Wakati Wanaweza Wakawa Wamekaa Na Ma Bodyguard Wa KIUME Lakini Ukiwaona Kama Huna UZOEFU Nao Ukashindwa Kuwatofautisha Kujua Mwanaume Pale Ni Yupi Na Mwanamke Ni Yupi. Mfano Mdogo Tu Angalia au Tafuta Picha Za Yule Dada Aliyekuwa MLINZI Wa Mke Wa Mkapa Halafu Chukua Na Picha Ya Yule Aliyekuwa ADC Wa Mkapa Afande Mzee Emanuel Simule Kisha Walinganishe Utaelewa Nilichokifafanua Hapa. Nadhani Kidogo Nimejaribu Kukujibu Na Ngoja Niwapishe Sasa Wenyewe WAKUJUZE Zaidi.

si kweli hawafanyi na makomandoo...kimsing afisa usalama yoyote ni mlinzi wa kiongoz kwa k

uwa wanapatiwa mafunzo basic ya hali ya juu kutegemea na uhitaji...then baadaye una pewa another training regardin ur position mathalan kulinda kiongoz kwa karibu kabisa...hapo utapata deep trainings, hiii ni baada ya walim kuangalia uwezo wako katk kujihami..kulenga shabaha sharpness...werevu na umakin, after that unapewa kiongoz, walinz waopo wke kwa waume, kamabkiongoz nj mwanamke atapewa boardguard mwanamke, kuhusu ukomavu inategemea na umbile la mtu...walinz hao wameoa na kuolewa na wanaish na familia zao, kama mtu hajaolewa hilo ni yy binafsi na si kisingizio cha kaz kwakuwa si mda wote anatakiwa aaambatane na kiongoz kwan shift zipo...nadhan inatosha, by da way huomb kaz walim wakonwa chuo, shule ya sekondar au ufund ama jkt ndio wanaokuona na kusugest cz maafisa wapo katika kila eneo kubwa
 
Soma Vizuri Post Yangu Kisha Ukishajiridhisha Utaniambia ILA Hata Hivyo Nakushukuru Kwa Kushirikiana Nasi Katika Kuonyesha Uzoefu Wako Wa Ki POPOMA Wa UWT.
 
Ingekuwa Ni SIRI Kamwe Wasingekuwa Wanatuambia Na Kuturopokea Wanayoyafanya Humo Ofisini Kwao Makumbusho, Oysterbay, Kinondoni Makaburini, Stesheni Na Ubungo Maji Tena Wakiwa WAMELEWA CHAKARI, Bastola Zao Wamezianika Mezani Huku Pembeni Wakiwa Wamezungukwa Na VINCHECHEDE. Usipotoshe Watu Hakuna Siri Sasa Ndani Ya PSU au TISS Ila Tunachokifanya Ni Kuwatunzia Tu SIRI Zao Zingine KIMAADILI Kwa UZALENDO Wa KUIPENDA Nchi Tuliopewa Tukiwa Kama Watanzania Na Wao Wakiwa Ni QMAKAMANDA Wetu WATIIFU Na WALIOTUKUKA.

ukiona ameropoka ujue sio sir na kwamba haina madhara kwa jamii kuitambua, Siri kuuu kamwe kuiropoka ni noma hata kama umekunywa kreti la bia ya safar....hizo glock wanazozianika hazina madhara kuonekana kwasababu wao ni walinzi wa wazi kabisa na wameruhusiwa kufahamika ndio maana rahis kuwajua na kuwatambua, but wale wasio ruhusiwa hutaona bunduk zao wala kujianiaka mana kwa kufanya hivyo ni kujiumbua as a result abortion of plan....so dont giv urself false hopes.
 
Soma Vizuri Post Yangu Kisha Ukishajiridhisha Utaniambia ILA Hata Hivyo Nakushukuru Kwa Kushirikiana Nasi Katika Kuonyesha Uzoefu Wako Wa Ki POPOMA Wa UWT.

post yako nimeielewa ila nlichogundua nj kwamba u know absolutely nothing...empty head....which is an advantage to some people, keep on spreadin fake info
 
Back
Top Bottom