Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

four failure na four/29,30,31-33 ni tofauti mkuu!!! nazungumzia tofauti ya utendaji ya mwenye four/28 na mwenye four/29-33.. samahani kama sijaeleweka!

unapofika eneo la kazi four wote ni kitu kimoja bila kujali four ya kwanza wala ya mwisho...cz wote mna lishwa elim nyingine kwa kiwango sawa, na hapa mtu aliyekuwa na four ya mwisho anaweza kuwa mzuri kushinda hata yule wa form six.....cz kufel form four inategemea na mtihan ulikubamba vip...unless bado sijakuelewa,na kama sijaeleweka niulize tu.
 
na wote lazima mfanye kozi za kijeshi kwanza au?
unapochukuliwa unaweza kuwa ndio kwanza umemaliza chuo, au shule au jkt but hawakwambii waenda wapi (namaanisha hadi hapo unakuwa hujawai pitia mafunzo ya kijeshi) ukishafika chuoni ( tanzania au nje ya tanzania) unapewa mafunzo ya kijeshi, ya kujihami (visu, mapanga, karate) na mengine ya kikaz, but huwa ni magum kuliko ya kijeshi cz unakuwa umetaabika mara mbili zaid.
 
Kuwa Mwanajeshi...
Mafunzo ya awali na maalum ni muhimu sana ktk hiyo nafac.
Mwanajeshi unaweza kuhamishiwa office yeyote ya Govt kufanya kazi.
 
Salaam wakuu,

Kila rais duniani anakuwa na Walinzi wake maarufu kama bodigadi. Kama unakumbuka Gaddafi, yeye alikuwa na mabodigadi wa kike na inasemekana aliweza kutembea na walinzi wasiopungua 200.

Je, unazifahamu ni sifa zipi huhitajika ili kuwa mlinzi wa rais? Ni Mafunzo gani watu hawa muhimu huyapitia? Unajua ni kwa nini wengi wa walinzi hawa ni wa Jinsia ya kiume?

Walinzi wa raisi ni wengi na kawaida raisi analindwa kwa cycle. Hii cycle inaweza kubadilika kwa shift. Kwenye hii cycle wapo wanaoonekana public na wasioonekana. Sasa ww kuwa specific unataka sifa za ADC au hawa wengine ?
NB: Ushawahi kusikia ajira ya udereva wa raisi au mpiga picha wa raisi kutangazwa ?
Naishia hapa.
 
hata ukiwa mwanajeshi wa nyota..utapochaguliwa kujiunga na kazi ya security ni lazima ufundishwe upyaaaaaaaa na utaanza na basic course so uanajeshi sio kigezo kabsaaaaaaa.
 
mtoa uzi anaulizia mlinzi wa karibu kabisa wa Rais......wanaoonekana kwa macho.
 
Ok!
1. Kigezo cha kwanza na kikuu lazima awe idarani.
Ikionekana kuna mtu anafaa zaidi nje ya idara ie JW,jkt au polisi basi lazima aingizwe idarani kwanza then anakabidhiwa jukumu.
2. Vigezo vingine kuna mdau kavitaja hapo juu ila cha muhimu zaidi kuna veting ya wakuu ndio inayodetermine nani ni nani.
3. Kuna watu wa idara wanaoweza kujitambulisha kama wao wapo idarani kutegemeana na vyeo na mahali husika. Ila wengine ni mwiko kujitambulisha mpaka kwa kibali na ruhusa maalum kutoka kwa mkuu.
Nb: Ukiona mtu anaropoka bar kuna mawili
a. Sio wa idara
b. Ni wa idara ila nafasi yake inamruhusu kutegemeana na nature ya majukumu yake mfano RSO na wengine
 
hata ukiwa mwanajeshi wa nyota..utapochaguliwa kujiunga na kazi ya security ni lazima ufundishwe upyaaaaaaaa na utaanza na basic course so uanajeshi sio kigezo kabsaaaaaaa.

Mkuu tupo pamoja, na hao wahusika tupo nao humu jamvini..., watasahihisha pale panapo stahili.
Kwa kifupi ndy maana nikatumia neno mafunzo maalum or kozi maalum...
 
Ok!
1. Kigezo cha kwanza na kikuu lazima awe idarani.
Ikionekana kuna mtu anafaa zaidi nje ya idara ie JW,jkt au polisi basi lazima aingizwe idarani kwanza then anakabidhiwa jukumu.
2. Vigezo vingine kuna mdau kavitaja hapo juu ila cha muhimu zaidi kuna veting ya wakuu ndio inayodetermine nani ni nani.
3. Kuna watu wa idara wanaoweza kujitambulisha kama wao wapo idarani kutegemeana na vyeo na mahali husika. Ila wengine ni mwiko kujitambulisha mpaka kwa kibali na ruhusa maalum kutoka kwa mkuu.
Nb: Ukiona mtu anaropoka bar kuna mawili
a. Sio wa idara
b. Ni wa idara ila nafasi yake inamruhusu kutegemeana na nature ya majukumu yake mfano RSO na wengine

kwakusoma tu andiko lako inaonyesha unajielewa na unajitambua...na unajua si kila anaekaa baa nakulewa na kusema yeye ni afisa basi watu waamini ni afisa..mfano yupo jamaa hum alikuwa anasema eti maafisa hawana sir wanakaa bar wanaropoka
....but kupitia bandiko hili umempa jibu kuwa si kila anaesema yy ni afisa basi aaminiwe
...afisa kamwe aropoki siri
...hajitangazi unless awe kashaumbuka kulingana na kitengo chake mf Psu
...

shukran
....tupo pamoja.
 
Naamini Kuwa Hapo Utapata Taarifa Kamili Za KIINTELINJENSIA Kama Siyo Za KIJASUSI Kisha Upeleke Ripoti Kwa Othman au Mombo. Safi Sana Nafurahi Kuona Vijana MKIWAJIBIKA Namna Hii. Nisalimie Mno RSO Wako Hapo Mkoani Ulipo Mkuu. Nilitamani Sana Nikuombe Uniletee Samaki Ila Tatizo Sina FRIJI Na SIJAOA Bado Hivyo Nitawatesa Tu Bure Hao Samaki Japo Watakuja Wakiwa WAMESHAKUFA!

kwa post hii nimekukubali
 
Ok!
1. Kigezo cha kwanza na kikuu lazima awe idarani.
Ikionekana kuna mtu anafaa zaidi nje ya idara ie JW,jkt au polisi basi lazima aingizwe idarani kwanza then anakabidhiwa jukumu.
2. Vigezo vingine kuna mdau kavitaja hapo juu ila cha muhimu zaidi kuna veting ya wakuu ndio inayodetermine nani ni nani.
3. Kuna watu wa idara wanaoweza kujitambulisha kama wao wapo idarani kutegemeana na vyeo na mahali husika. Ila wengine ni mwiko kujitambulisha mpaka kwa kibali na ruhusa maalum kutoka kwa mkuu.
Nb: Ukiona mtu anaropoka bar kuna mawili
a. Sio wa idara
b. Ni wa idara ila nafasi yake inamruhusu kutegemeana na nature ya majukumu yake mfano RSO na wengine

na hawa mashushu wa huku mtaani wanapatkanaje?na je kwa mfano rais anaenda nchi kama marekani,huwa anaambatana na walinzi wake wote kama afanyavyo obama au inakuaje?
 
..mashushu kupatikana mtaani kivipi?
...kuhusu rais kusafir na walinz wote thats very imposible, walinz ni weeeeeeengi mnooooooo kuliko unavyofikiria hata huyo obama unaesema anasafir na walinz wooote hamna kitu kama hicho
...husafir na makund mawili...advance part hutangulia eneo kiongoz analokwenda kabla hata kiongoz hajafika, then kund la pili husafir nalo kwa maana ya kuambatana nao...walinz wengine huendelea na shughuli za kulinda taifa.

...kumbuka si rais pekee anaepatiwa ulinz bali wapo viongoz wengine, kama mawazir wakuu na wale wastaafu, marais waliostaafu, makamo wa rais...na wake zao
....kwahiyo ulinz ni mawanda mapana

...kumbuka kila mahala rais anapoenda lazma kuna maafisa wanaofanya kaz na mikoa husika ama nchi husika ambao huongeza ulinzi zaid.
 
Shukran saana mkuu kwa kutupa darasa, naomba niulize hivi informers wanapatikana vipi maana natamani saana niwe informers au watu wenye kaz mbilimbili na vigezo vya kuwa informer.
 
kitu kingine ndugu tang'ana kazi hii huipati kwa kuitaka mpaka wao wakutake wenyewe.
....aidha ukiwa chuo, jkt, vyuo vya ufundi, etc au kwenye gym flan wale trainers au afisa anaweza kukuona uko na vitu flan amazing then aka ku sport ( kukupendekeza)
...baada ya hapo utafanyiwa uchunguz wako na familia yako na rafik zako
...wakijiridhisha uko vizur wanakuchukua na kukupa mafunzo
.

wakiona huwafai bas unabaki
unaweza bahatika kupitia stage zote but mwishon ukawa na dosar ndogo tu ukaachwa
...
hivyo ni bahati na mpango wa mungu
...unles una ndugu ambae ni kigogo kwenye idara unaweza mwambia nataka kisha akakufanyia mpango

...ni hayo tu

...ngoja nikapike
tutaonana ktk majukwaa mengine naomba niishie hapa kwenye mada hii.
 
Last edited by a moderator:

sasa unaondoka na wkt watu bado tuna maswali mengi tu mkuu?
 
Last edited by a moderator:
Salaam wakuu,

Kila rais duniani anakuwa na Walinzi wake maarufu kama bodigadi. Kama unakumbuka Gaddafi, yeye alikuwa na mabodigadi wa kike na inasemekana aliweza kutembea na walinzi wasiopungua 200.

Je, unazifahamu ni sifa zipi huhitajika ili kuwa mlinzi wa rais? Ni Mafunzo gani watu hawa muhimu huyapitia? Unajua ni kwa nini wengi wa walinzi hawa ni wa Jinsia ya kiume?

Unataka Kujua Masuala Ya Ulinzi Wa Rais Wako Nenda Pale Makumbusho Kitengo Cha PSU Na Omba Kufanya Appointment Na Mkuu Wa PSU Mzee MASHIBA Na Atakupa Taratibu Zote au Ukishindwa Sana Siku Jipange Uende Chuoni Mbweni Ukaonane Na Principal Wa Chuo Chao Na ALIYETUKUKA Afande George Wandiba Kisha Utayapata Yote Hayo Kwani Yeye Ndiye MKUFUNZI Mkuu Wa Wana PSU. Usipotoshwe Na Wengine Humu MAPOPOMA Watupu Wanaotaka Kupata KIKI Kujifanya Wanaijua KULIKO PSU Na TISS Wakati Kumbe Ni Walinzi Tu Pale Getini Makumbusho. Kama Huu Ushauri Wangu Utaona Unakufaa Uchukue Ila Kama Utaona Haukufai Niachie Tu Mwenyewe. Jumapili Njema!
 
Back
Top Bottom