Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

Je, unazijua sifa za mtu kuwa mlinzi wa Rais?

GENTAMYCINE alias TISS wannabe, alias ma-ID mengi, alias POPOMA, alias sugu la kupigwa ban.:lol::lol:
CC La Brujita

Kama kweli ni sugu wa kupigwa ban humu basi huyu jamaa atakuwa kiboko. Natamani sana niwe kama yeye au nijifunze vitu fulani adimu ambavyo nimegundua anavyo. Hivi na hiyo id yake huwa ina maana gani mkuu kadoda11? Halafu wewe jamaa huyu mshkaji inaonekana labda ndiyo mumeo kwani unamjua na unamjulia sana hadi nafurahi ukiwa unacharurana nae. Vipi alikuoa lini? Umemzalia watoto wangapi? Anaonekana ni bwana mzuri mno kwako.
 
Last edited by a moderator:
Nini kirefu cha RSO?

Umri huo hujui rso ina maana gani sasa unafanya nini humu jf? Halafu wewe mshikaji nasikia eti wewe ni mjeda " mwanajeshi " sijui " usalama wa taifa " je ni kweli au kuna ukweli wowote? Kama ni kweli na swali ulilouliza napata mashaka sana na usalama wetu watanzania ambao nyie ndiyo mnaulinda.
 
kadoda11 wewe ni mume wangu mtarajiwa kwani unanijulia sana hadi nafurahi kuwa nawe. Vipi utanioa lini? Utataka nikuzalie watoto wangapi? Inaonekana utakuwa bwana mzuri mno kwangu.
LMAO
keep-calm-you-will-be-my-wife.png
 
Edobeny huyu jamaa nlichomgundua hajui kitu afu ana force mambo plus yupo ku compete....

...another thing anajua chuo ni mbweni tu..poor him
...another thing ana vitaarifa out dated
...another thing hana ethics
...another thing anajua security ni psu tu...shame on him
......alamsiki best
....nisalimie kwenu

Mkuu tupo pamoja hata mimi huyu jamaa yaani simpendi na nashukuru amepigwa ban kidogo ili humu patulie. Halafu kuhusu kuvijua vyuo ni kweli havijui kwani badala ya kuvitaja vyote kama cha mbweni, kile cha dodoma na zanzibar yeye kabakia kukitaja tu hicho kimoja. Kuhusu vitaarifa ni kweli yawezekana akawa yupo outdated na ndiyo maana ameongopa kuhusu mkuu wa psu mzee mashiba, ameongopa kuhusu akina mzee mombo na principal wandiba. Na kuhusu ethics hata mimi nakubaliana na wewe kuwa hana kwani hata bosi wake mkuu mwenyewe mkuu wa kitengo na yeye hana maadili hadi siri zake nyingi za kiidara zinavuja hovyo kwa sisi wana chadema na ukawa. Vile vile ni kweli yeye anajua security ni psu tu peke yake wakati kumbe kuna tiss ambayo ndiyo baba au mama wa idara nzima. Kiukweli hata mimi nasema shame on you Kilahunja.
 
Last edited by a moderator:
Kapewa ban lakini nasikia kuwa jamaa huyu ana id's humu karibia 11 hivi na usikute hata hizi id's zingine unazoziona humu zinachangia huku zingine zikikusapoti kinafiki akawa bado ni yeye tu. Id's zake zingine nasikia ni kadoda11, Mussolin5 na nifah ukichanganya na ile waliyompiga ban sijui inaitwa GENTAMYCINE nasikia anazo zingine tena 7 hivi. Anyway mimi bado mgeni ngoja niwaache muendelee nae asije akanishambulia na mimi mnyonge humu bure!

Hahahaaaaa, haya popoma tumekusikia.
 
Last edited by a moderator:
Walinzi wa raisi ni wengi na kawaida raisi analindwa kwa cycle. Hii cycle inaweza kubadilika kwa shift. Kwenye hii cycle wapo wanaoonekana public na wasioonekana. Sasa ww kuwa specific unataka sifa za ADC au hawa wengine ?
NB: Ushawahi kusikia ajira ya udereva wa raisi au mpiga picha wa raisi kutangazwa ?
Naishia hapa.

Acha kukrem wewe, kwahyo Fred Maro nae ni PSU au TISS?
 
GENTAMYCINE aka La Brujita huna maadili, me nitakufunza kwa kuweka picha yako hapa jukwani kwanza na kutaja jina lako halisi.

teh teh teh!!,mbavu zangu.utasababisha akuibukie PM akubembeleze usifanye hivyo.
mkuu musolin,genta anafahamika vizuri tu.tayari soft copy ya jalada lake ipo kwenye laptop yangu.hata hivyo, kwa sababu fulani fulani,tusimu-expose,tumuache aendelee kufanya comedy zake hapa JF.besically huwa napata burudani ninapo soma comment zake.kitendo cha kumu-expose kitasababisha atoweke JF mazima mazima(pamoja na zile ID zake) na kupelekea kukosa burudani yake.

copy to La Brujita
 
Sawa mkuu, ngoja tumchukulie km mchekeshaji wetu tuu aliyetukuka.

cc: GENTAMYCINE aka La Brujita
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tupo pamoja hata mimi huyu jamaa yaani simpendi na nashukuru amepigwa ban kidogo ili humu patulie. Halafu kuhusu kuvijua vyuo ni kweli havijui kwani badala ya kuvitaja vyote kama cha mbweni, kile cha dodoma na zanzibar yeye kabakia kukitaja tu hicho kimoja. Kuhusu vitaarifa ni kweli yawezekana akawa yupo outdated na ndiyo maana ameongopa kuhusu mkuu wa psu mzee mashiba, ameongopa kuhusu akina mzee mombo na principal wandiba. Na kuhusu ethics hata mimi nakubaliana na wewe kuwa hana kwani hata bosi wake mkuu mwenyewe mkuu wa kitengo na yeye hana maadili hadi siri zake nyingi za kiidara zinavuja hovyo kwa sisi wana chadema na ukawa. Vile vile ni kweli yeye anajua security ni psu tu peke yake wakati kumbe kuna tiss ambayo ndiyo baba au mama wa idara nzima. Kiukweli hata mimi nasema shame on you Kilahunja.

La Brujita aka Gentamyzin sijui mzinifu...sielewi hahaaaaa kwan ukiwa na ID moja hushibi
...ebu tulia uwanyonyeshe watoto na kuwaandalia chakula

...linda ndoa usije pewa talaka kama mwaka jana february
 
Last edited by a moderator:
GENTAMYCINE aka La Brujita huna maadili, me nitakufunza kwa kuweka picha yako hapa jukwani kwanza na kutaja jina lako halisi.

Simjui GENTAMYCINE ila najijua mwenyewe halafu ingekuwa ni bora zaidi kama kweli ungeweka hiyo picha na kutaja majina yake. Fanya hivyo upesi kama na wewe labda unadhani hujulikani ulipo kikazi, unapoishi na hujawahi kuwa na picha.
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh!!,mbavu zangu.utasababisha akuibukie PM akubembeleze usifanye hivyo.
mkuu musolin,genta anafahamika vizuri tu.tayari soft copy ya jalada lake ipo kwenye laptop yangu.hata hivyo, kwa sababu fulani fulani,tusimu-expose,tumuache aendelee kufanya comedy zake hapa JF.besically huwa napata burudani ninapo soma comment zake.kitendo cha kumu-expose kitasababisha atoweke JF mazima mazima(pamoja na zile ID zake) na kupelekea kukosa burudani yake.

copy to La Brujita

Wala usimzuie mwambie aweke vitu hadharani na upande wa pili nao ufunguke humu. Hii michezo ya kupigana mikwara huwa naipenda mno na nimefurahi kama huyo Mussolin5 anataka kuanzisha vita ya kimtandao na mimi kwakuwa naturally i am a battle hardened general.
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaaaa, haya popoma tumekusikia.

Kuna mtu mmoja anajifanya ananijua sijui nilishambandua siku moja? Sasa nimemruhusu alianzishe na mimi nitalimaliza na namsubiri kwa hamu mno.
 
Back
Top Bottom