tax_expert
New Member
- Sep 8, 2022
- 2
- 1
- Naamin huu uzi unaweza usiwe wa kwanza kwako juu ya ujuzi wa kufungua
- Kampuni na umekua ukipata ujuzi kutoka kwa watu mbalimbali
- Lakin ngoja nikuulize swali “unahisi bado kuna kipande cha ujuzi ndani yako kinakosekana?
- Bhas huu uzi ndio kipande cha ujuzi kilichobaki ambacho kilikua kinakosekana ili kukupa picha kamili.
- Kampuni ni nini?
- ni asasi au shirika linalotambuliwa kisheria ambalo limeundwa kwa ajili ya kuunda au kuuza bidhaa na au huduma kwa wateja na linashughulika na aina yoyte ya bishara.
- Mahitaji muhimu uweze kufungua kampuni
- Namba za Nida (kwa wamiliki wote wawili)
- TIN numbers (kwa wamiliki wote wawili)
- MEMAT (Memorandum & Articles of Association)
- Phone, Email, P. O. Box na Address (kwa wote wawili)
- Gharama za Usajili wa Kampuni (Inategemea kulingana na hisa)
- Kutambulika kisheria hivyo itakuwezesha kuomba baadhi ya kazi ama tender za serikali inamaana utafanikiwa kujiongezea kipato kwa kiwango kikubwa
- Kupata mikopo/Udhamini hivyo itakuwezesha kutanua wigo wa biashara yako inamaana utakuza biashara yako na kuwa mfanyabiashara mkubwa