Je, uongozi wa Roman Catholic ni 'ndumilakuwili' au huyu Papa tumepandikiziwa? Tutegemee nini?

Kama tulisom kwenye history kuw kulkuw na ujio wa missionary (Dini) tuujue din nitaasi kam NMB

sasa ukiend na wake wawili kanisan hutobalikiw

Ila mashoga wakiend watabalikiw

Nazan kanisan pia linalenga mapato
 
Ukristo ndo wao wameuleta sisi tumeupokea tu. Sasa hivi wanaboresha ukristo wao sisi tunalalamikaπŸ˜€πŸ˜€
Waachieni dini yao.
Dini ni utapeli tu kama ilivyo ndoa.
Mimi sio mfuasi wa dini, ila naelewa Dini watu wanazifuata kwa sababu zilikuwa zinatoa muongozo fulani kwa watu kuhusu maadili, usiibe, usizini, mpende jirani yako kama unavyojipenda nk ,

Hii ndio inafanya hata mzazi kumpeleka mtoto wake akafindishwe dini, Ila kwa sasa ishapoteza tena hata huo muongozo wa maadili
 
Ingefaa kanisa la kikatoliki afrika ligome huu ushenzi na kujitenga na vatican kama kanisa la anglican walivyojitenga kuongozwa na kanisa la uingereza. Makadinali wamueleze huyu papa mpenda ushoga achague, kusuka au kunyoa. Ushoga tayari umehukumiwa na mungu kwenye biblia papa yeye ni nani awabariki wapenzi wa jinsia moja.
 
Kanisa katoliki halitakufa. Ni suala la muda tu madhehebu mengine yataunga mkono hoja wewe subiri utaona.
Anglikana siku nyingi walishahalalisha ushoga, hata maaskofu wao baadhi ni mashoga.
Watu wanajipa moyo kuwa mambo yatabadilika na kuwa mazuri.

Yaani hizi siku za mwisho ni kutoka ubaya kwenda ubaya zaidi
 
Kuna watu wengi watajitenga na Rumi aka Vatican, kuna watu wengi hata viongozi hawakubaliani na hili jambo.
 
Papa ni kiongozi TU na sio mkubwa kuliko kanisa
Papa si kiongozi wa kanisa, ni kiongozi wa madhehehu ya kanisa katoliki tuu na siyo kanisa lote. Sasa kaamua wa RC wanaume muoane. Anaepinga Γ hame amuachie RC yake.
 
Wamenikata stimu sana hawa jamaa. Sijui nitawaambia nn watoto wangu. Paroko wangu aliwahi kusema 'neno ushoga hata halipaswi kuongelewa sababu ni laana tu hata kulitamka'
Paroko yuko sahihi kabisa, sasa wewe unasemaje? Utaolewa au utahama?
 
Papa si kiongozi wa kanisa, ni kiongozi wa madhehehu ya kanisa katoliki tuu na siyo kanisa lote. Sasa kaamua wa RC wanaume muoane. Anaepinga Γ hame amuachie RC yake.
Ye kiongozi na sio muongozo
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚ Papa kachafua Hali ya hewa kuelekea x-mass! Kazi ipo!
 
Kanisa katoliki halitakufa. Ni suala la muda tu madhehebu mengine yataunga mkono hoja wewe subiri utaona.
Anglikana siku nyingi walishahalalisha ushoga, hata maaskofu wao baadhi ni mashoga.
Kibongo bongo tunasema papa anaupiga mwingi.
 
Ukristo ndo wao wameuleta sisi tumeupokea tu. Sasa hivi wanaboresha ukristo wao sisi tunalalamikaπŸ˜€πŸ˜€
Waachieni dini yao.
Dini ni utapeli tu kama ilivyo ndoa.
He he he na wewe kumbe ni kataa ndoa
 
Huyu papa inabidi tumuondoe haraka sana!
Unamuondoaje. Si mnasemaga anateuliwa na Mungu kupitia moshi mweupe. Kingine mnachokosea mnadhani huyu papa ndio shida. Haya ni maamuzi ya management yote ya katoliki roma hapo papa yeye ni msemaji tu. Hata Akija bashite na kilolo awe papa bado wangesema haya haya
 
Waafrika rudieni dini zenu za asili!


Waislam na jihadi ya kuua watu

Wakristo Sasa ni ruksa kuzibuana makalio.


Hahaha

Endeleeni kuwa wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…