Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio mfuasi wa dini, ila naelewa Dini watu wanazifuata kwa sababu zilikuwa zinatoa muongozo fulani kwa watu kuhusu maadili, usiibe, usizini, mpende jirani yako kama unavyojipenda nk ,Ukristo ndo wao wameuleta sisi tumeupokea tu. Sasa hivi wanaboresha ukristo wao sisi tunalalamika😀😀
Waachieni dini yao.
Dini ni utapeli tu kama ilivyo ndoa.
Ingefaa kanisa la kikatoliki afrika ligome huu ushenzi na kujitenga na vatican kama kanisa la anglican walivyojitenga kuongozwa na kanisa la uingereza. Makadinali wamueleze huyu papa mpenda ushoga achague, kusuka au kunyoa. Ushoga tayari umehukumiwa na mungu kwenye biblia papa yeye ni nani awabariki wapenzi wa jinsia moja.Uongozi wa Roman Catholic kwa miaka 15 iliopita umekua na changamoto sana hasa hasa kuhusu mambo ya ubakaji, rushwa na ushoga.
Miaka ilopita tulishuhudia Papa Benedict anajiondoa kwenye kile kiti, kitendo ambacho kilizua maswali mengi sana. Japo baadhi ya watu wanadai Papa Bemedict alikua anasukumwa na baraza lake kuidhinisha vitendo vya 'laana' ikiwemo ndoa za jinsia moja - ushoga. Hivyo ili kulinda agano lake kwa Mungu na mtangulizi wake (pope John Paul II) ikabidi aachie kiti kuliko kufanya maamuzi yanayoruhusu kuingiza laana kwenye kanisa.
Kwa hali inayoendelea kwa sasa kuna maswali mengi yanajitokeza.
kwa nini Roman Catholic wasiruhusu kubariki ndoa za wake wengi waje kuruhusu kubariki ushoga?
Kwa nn wasiruhusu na kubariki utumiaji wa njia za uzazi wa mpango waje waruhusu ushoga?
Kwa nn wasiwaruhusu makasisi kuoa waje waruhusu kubariki wanaume kuoana wao kwa wao?
Nimesoma huo waraka ulotolewa unadai haujaruhusu ndoa za jinsia moja ila umeruhusu 'kubariki' mahusiano ya jinsia moja. Kitendo cha kuruhusu kubariki haya mahusiano ya kishoga si ndio hukohuko kutoa go-ahead watu wafanyiane mambo ya sodoma na gomorra.
Je, sisi wazazi tutawaambia nn watoti wetu tunaowakataza kuangalia tamthilia za kifilipino na kizungu zinazoonesha ushoga lakini tunawaruhusu kwenda kanisani ambapo viongozi eake wameambiwa wabariki ushoga? Kwa maneno mengine Roman Catholic imeruhusu mashoga kwenda kanisani wameshikana kama couple za kawaida.
Tumaini pekee la kuokoa kanisa dhidi ya huu ufilauni ni hawa 'Conservative Cardinals' na hata wakiweza wamuondoe huyu Papa kwemye hicho kiti maana kwenye uongozi wake hakuna kikubwa alichofanya kwenye kanisa zaidi ya kuharibu miiko iliopo toka zama na zama.
Mtakatifu Yohanna Paulo wa pili, Utuombee. Amen
Watu wanajipa moyo kuwa mambo yatabadilika na kuwa mazuri.Kanisa katoliki halitakufa. Ni suala la muda tu madhehebu mengine yataunga mkono hoja wewe subiri utaona.
Anglikana siku nyingi walishahalalisha ushoga, hata maaskofu wao baadhi ni mashoga.
Kuna watu wengi watajitenga na Rumi aka Vatican, kuna watu wengi hata viongozi hawakubaliani na hili jambo.Uongozi wa Roman Catholic kwa miaka 15 iliopita umekua na changamoto sana hasa hasa kuhusu mambo ya ubakaji, rushwa na ushoga.
Miaka ilopita tulishuhudia Papa Benedict anajiondoa kwenye kile kiti, kitendo ambacho kilizua maswali mengi sana. Japo baadhi ya watu wanadai Papa Bemedict alikua anasukumwa na baraza lake kuidhinisha vitendo vya 'laana' ikiwemo ndoa za jinsia moja - ushoga. Hivyo ili kulinda agano lake kwa Mungu na mtangulizi wake (pope John Paul II) ikabidi aachie kiti kuliko kufanya maamuzi yanayoruhusu kuingiza laana kwenye kanisa.
Kwa hali inayoendelea kwa sasa kuna maswali mengi yanajitokeza.
kwa nini Roman Catholic wasiruhusu kubariki ndoa za wake wengi waje kuruhusu kubariki ushoga?
Kwa nn wasiruhusu na kubariki utumiaji wa njia za uzazi wa mpango waje waruhusu ushoga?
Kwa nn wasiwaruhusu makasisi kuoa waje waruhusu kubariki wanaume kuoana wao kwa wao?
Nimesoma huo waraka ulotolewa unadai haujaruhusu ndoa za jinsia moja ila umeruhusu 'kubariki' mahusiano ya jinsia moja. Kitendo cha kuruhusu kubariki haya mahusiano ya kishoga si ndio hukohuko kutoa go-ahead watu wafanyiane mambo ya sodoma na gomorra.
Je, sisi wazazi tutawaambia nn watoti wetu tunaowakataza kuangalia tamthilia za kifilipino na kizungu zinazoonesha ushoga lakini tunawaruhusu kwenda kanisani ambapo viongozi eake wameambiwa wabariki ushoga? Kwa maneno mengine Roman Catholic imeruhusu mashoga kwenda kanisani wameshikana kama couple za kawaida.
Tumaini pekee la kuokoa kanisa dhidi ya huu ufilauni ni hawa 'Conservative Cardinals' na hata wakiweza wamuondoe huyu Papa kwemye hicho kiti maana kwenye uongozi wake hakuna kikubwa alichofanya kwenye kanisa zaidi ya kuharibu miiko iliopo toka zama na zama.
Mtakatifu Yohanna Paulo wa pili, Utuombee. Amen
Papa si kiongozi wa kanisa, ni kiongozi wa madhehehu ya kanisa katoliki tuu na siyo kanisa lote. Sasa kaamua wa RC wanaume muoane. Anaepinga àhame amuachie RC yake.Papa ni kiongozi TU na sio mkubwa kuliko kanisa
Ukweli tumeumbukaTuliwataahadharisha mkatubinulia midomoView attachment 2846873
Hicho kiti chake utakatifu kinautoa wapi?Yeye sio mtakatifu. Kiti chake ndicho kitakatifu.
Paroko yuko sahihi kabisa, sasa wewe unasemaje? Utaolewa au utahama?Wamenikata stimu sana hawa jamaa. Sijui nitawaambia nn watoto wangu. Paroko wangu aliwahi kusema 'neno ushoga hata halipaswi kuongelewa sababu ni laana tu hata kulitamka'
Ye kiongozi na sio muongozoPapa si kiongozi wa kanisa, ni kiongozi wa madhehehu ya kanisa katoliki tuu na siyo kanisa lote. Sasa kaamua wa RC wanaume muoane. Anaepinga àhame amuachie RC yake.
Hakuna papa wa kufuta hiyo kauli, maandiko ni lazima yatimie.Papa ameenda kuliua kanisa Katoliki, kitu pekee kitakacholiokoa ni aje Papa mwingine afute hii kauli
Kibongo bongo tunasema papa anaupiga mwingi.Kanisa katoliki halitakufa. Ni suala la muda tu madhehebu mengine yataunga mkono hoja wewe subiri utaona.
Anglikana siku nyingi walishahalalisha ushoga, hata maaskofu wao baadhi ni mashoga.
He he he na wewe kumbe ni kataa ndoaUkristo ndo wao wameuleta sisi tumeupokea tu. Sasa hivi wanaboresha ukristo wao sisi tunalalamika😀😀
Waachieni dini yao.
Dini ni utapeli tu kama ilivyo ndoa.
Unamuondoaje. Si mnasemaga anateuliwa na Mungu kupitia moshi mweupe. Kingine mnachokosea mnadhani huyu papa ndio shida. Haya ni maamuzi ya management yote ya katoliki roma hapo papa yeye ni msemaji tu. Hata Akija bashite na kilolo awe papa bado wangesema haya hayaHuyu papa inabidi tumuondoe haraka sana!
Ha haaa mi simoooKibongo bongo tunasema papa anaupiga mwingi.
Nipo nateseka nayo, mambo si mambo...kutoka sitoki bado nipo nipo sana tu😅He he he na wewe kumbe ni kataa ndoa