Ana jinsia mbili.Ngoja secretarybird aje athibitishe hili
Asante sana! Ni kazi yangu kuwasanua 😎.Asante kwa taarifa za kijasusi
Hahahahaha!! na watashangaa unapingana na dini iliyokuleaWatashangaa tu kwamba nimewahi kuwa CHAPUTA mwandamizi, ila hakuna jipya.
JF nilianza kuisoma enzi hizo 2013 niko la nne, nilipewa homework ya misemo na nahau nikagoogle nikaletwa humu.
Hata kujiunga 2023 ni kupitia video flani za youtube nilitengeneza nikaja humu kuzisambaza nikajikuta nimenogewa. JF ikawa mtandao wangu wa kwanza ku-'engage' nao. Mpaka leo twitter, insta na reddit nasoma tu ila humu ndipo nina-comment.
Hilo wanalijua mbona...Hahahahaha!! na watashangaa unapingana na dini iliyokulea