Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Na simu ina madhambi kama yote🤣🤣🤣Nikiwaza tu siku nikioa tutakua tunashare simu naishiwa nguvu zote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na simu ina madhambi kama yote🤣🤣🤣Nikiwaza tu siku nikioa tutakua tunashare simu naishiwa nguvu zote
Hivi karma huwa inafanya kazi kwa baadhi ya watu tu?Unatafuta karma eeh?
Simu apana Kwa kwel, sio kwamba ina maovu mengi kiivo ila ikishikwa na mtu hata dakika 1 pressure inaweza panda na kushuka Kwa wakati mojaNa simu ina madhambi kama yote🤣🤣🤣
Ulitaka ifanye kwa nani?Hivi karma huwa inafanya kazi kwa baadhi ya watu tu?
Punguza makando kando totoo!Simu apana Kwa kwel, sio kwamba ina maovu mengi kiivo ila ikishikwa na mtu hata dakika 1 pressure inaweza panda na kushuka Kwa wakati moja
Sina makando kando bas tu siwezi kua comfortable simu yangu kua kwenye mikono ya mtu mwngnPunguza makando kando totoo!
Depression acha kujifariji.Nainjoi
Nshaona watu wanawafanyia ukatili wenzao lakini mpaka wanakufa hamna baya linalowapata, unaweza Kuta mtu anamhadaaa Binti anamla siku mimba ikinasa anamkataa/anamkimbia hamna linalompata lakini akijitokeza mwingine akamuumiza huyo singlemom lazima likupate jamboUlitaka ifanye kwa nani?
Hamnaaaa, makando kando yamezidi.🤣🤣🤣Sina makando kando bas tu siwezi kua comfortable simu yangu kua kwenye mikono ya mtu mwngn
Una hakika hamna linalowapata?Nshaona watu wanawafanyia ukatili wenzao lakini mpaka wanakufa hamna baya linalowapata, unaweza Kuta mtu anamhadaaa Binti anamla siku mimba ikinasa anamkataa/anamkimbia hamna linalompata lakini akijitokeza mwingine akamuumiza huyo singlemom lazima likupate jambo
We unaweza muachia simu yako babe wako?Hamnaaaa, makando kando yamezidi.🤣🤣🤣
😂 sina depressionDepression acha kujifariji.
Hamna linalowapata, yaan wengine kwenye haya Maisha karma haiwahusu....karma ni Kwa baadhi yetu tu. Kama mimi naogopa kufanya baadhi ya mambo maovu maana Mungu hachelewi kunifanya mfano wa kukanya maovuUna hakika hamna linalowapata?
Ndio.We unaweza muachia simu yako babe wako?