Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Nipo paleeeeeee!😁😁 oa kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo paleeeeeee!😁😁 oa kijana
Mi nikistay magetoni na mtoto mzuri faida kubwa nayopata ni kulala mapemaAtoto Kijana wako kagoma tena asee😅
Ila wife material wapo mkuu ,japo kuna wimbi kubwa la majambawizo ni kuangalia kwa umakini bila papara😁😁😁Mi nikistay magetoni na mtoto mzuri faida kubwa nayopata ni kulala mapema
Bado nipo nipo bwasheeIla wife material wapo mkuu ,japo kuna wimbi kubwa la majambawizo ni kuangalia kwa umakini bila papara😁😁😁
Tupo tupo mkuu , ngoja tutazame hii game Kwanza 😁Bado nipo nipo bwashee
Hataki kuoa yeye ni kudokoa tu eti😅Kagoma nini tena huyu shindikana?
Huyu tumeamua tumuache tu hadi mishangazi imnyooshe.Hataki kuoa yeye ni kudokoa tu eti😅
Duh vijana wanakatishwa tamaa sana kufikia ndoto zao aseee😁😁Huniwezi hata kwenye ndoto tu achana na hilo wazo
Huyo mlugaluga kajua kutag basi kaona aanze na mimiDuh vijana wanakatishwa tamaa sana kufikia ndoto zao aseee😁😁
Huyu tumeamua tumuache tu hadi mishangazi imnyooshe.
Mi saiv naheart break mashangaziHuyu tumeamua tumuache tu hadi mishangazi imnyooshe.
Nikiwaza tu siku nikioa tutakua tunashare simu naishiwa nguvu zoteTupo tupo mkuu , ngoja tutazame hii game Kwanza 😁
Wa kukamata mbuzi.Wanini
Unatafuta karma eeh?Mi saiv naheart break mashangazi