Je, upo single?

Na simu ina madhambi kama yote🤣🤣🤣
Simu apana Kwa kwel, sio kwamba ina maovu mengi kiivo ila ikishikwa na mtu hata dakika 1 pressure inaweza panda na kushuka Kwa wakati moja
 
Ulitaka ifanye kwa nani?
Nshaona watu wanawafanyia ukatili wenzao lakini mpaka wanakufa hamna baya linalowapata, unaweza Kuta mtu anamhadaaa Binti anamla siku mimba ikinasa anamkataa/anamkimbia hamna linalompata lakini akijitokeza mwingine akamuumiza huyo singlemom lazima likupate jambo
 
Una hakika hamna linalowapata?
 
Una hakika hamna linalowapata?
Hamna linalowapata, yaan wengine kwenye haya Maisha karma haiwahusu....karma ni Kwa baadhi yetu tu. Kama mimi naogopa kufanya baadhi ya mambo maovu maana Mungu hachelewi kunifanya mfano wa kukanya maovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…