SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 3,109
- 6,323
Uko single au bado unanyapia nyapia vya watu.
View: https://youtu.be/5KeFyyy5CTI?si=GPpwndUt8DAGhDjq
View: https://youtu.be/5KeFyyy5CTI?si=GPpwndUt8DAGhDjq
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamanisha nini
Kuoa kwa sasa ni kama kujipeleka kwenye mtego wa panya😆Unamanisha nini
Mbona wapo wengi shida ni nini??Ndio.
NIPO SINGLE mie
Heh jamani unazeeka mwenyeweKuoa kwa sasa ni kama kujipeleka kwenye mtego wa panya😆
Kabisa hadi raha😁Heh jamani unazeeka mwenyewe
Mbona wapo wengi shida ni nini??
OaKabisa hadi raha😁
Ili iweje?
Acha tu ndio maana watu wanapotezea kuolewa siku hiziHAWANA HELA.
Halafu wanataka kuendesha gari kinyumenyume wakati kuna foleni
Upate wa kuishi naye ukizeekaIli iweje?
Eti ehsingle na single waunganishe nguvu
Hadi wewe acheni ubahiliNipo single ndiwo
Kwamba nikizeeka nitahitaji wa kuishi nae kuliko sasa hivi?Upate wa kuishi naye ukizeeka
Uko single au bado unanyapia nyapia vya watu.
View: https://youtu.be/5KeFyyy5CTI?si=GPpwndUt8DAGhDjq