The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 458
- 1,280
Wizara ya utalii imetoa tamko la serikali kuondoa zuio la kusafirisha wanyama nje ya nchi katika mashamba yaliyokuwa na vibali maalumu ya kusafirisha wanyama hao nje ya nchi.
Je, unadhani hii itachangia watalii wengi kuja nchini kwajili ya kuwekeza katika mashamba ya umiliki wa wanyama na utalii kwa ujumla au itachangia kwa namna moja au nyingine kuua soko la utalii nchini Tanzania?
Karibu tuchangie uzi wana JF.