mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mchezaji mwenye kadi tatu za njano,hukumu yake nini.akichezeshwa kwenye mechi...?Yanga ilibebwaje?
Cbezeni mpira uwanjani sio mezani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchezaji mwenye kadi tatu za njano,hukumu yake nini.akichezeshwa kwenye mechi...?Yanga ilibebwaje?
Cbezeni mpira uwanjani sio mezani.
Mchezaji mwenye kadi tatu za njano,hukumu yake nini.akichezeshwa kwenye mechi...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamkulipa hela ya rufaa kama polisi Dar walivyowakatia rufaa..Ajibu si mlimchagulia mechi na wao Kagera walichagua mechiMchezaji mwenye kadi tatu za njano,hukumu yake nini.akichezeshwa kwenye mechi...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ongeeni tu.dawa yenu ipo jikoni.Maxime sio mjinga amcheze mchezaji mwenye kadi tatu za njano.
Endeleeni kupika majungu wenzenu wanacheza mpira.
Hivi zawadi ya mshindi wa pili mlishachukua?
Hamkulipa hela ya rufaa kama polisi Dar walivyowakatia rufaa..Ajibu si mlimchagulia mechi na wao Kagera walichagua mechi
Nakumbuka walipigwa na Senegal,mechi hiyo niliiangalia asubuhi saa3 hivi na Senegal akaenda robo final.Kuna tofauti baina ya kitambaa na nguo, viungo na mchuzi.Kwenye Fainali za Kombe la Dunia zilizochezwa Korea ya Kusini na Japan, licha ya kuwa ni Bingwa Watetezi, Ufaransa ilikuwa na mwanasoka bora wa Dunia (Zidane) mfungaji bora wa Ligi ya Uingereza (Henry), Mfungaji bora wa Ligi ya Ufaransa (Djibril Cisse) na mfungaji bora wa Ligi ya Italia (Treziguet). Unakumbuka ilikuwaje? Walitolewa hatua ya awali ya makundi bila ya kuambulia hata goli!
Nawakumbuka akina Henry Camara, Fadiga na yule Mwehu alienda Liverpool!Ndiyo hiyo, tena ilikuwa mechi ya ufunguzi ambayo Bingwa alipangiwa kilichoonekana ni kibonde makusudi (Pengine) ili aanze na morali wa mabao kibao!
Nawakumbuka akina Henry Camara, Fadiga na yule Mwehu alienda Liverpool!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sadaqtaaaa! Mtukutu El-Haj Diouf!Nawakumbuka akina Henry Camara, Fadiga na yule Mwehu alienda Liverpool!
Sent using Jamii Forums mobile app
Malinzi alikuwa full back msimu uliopita si ndio
Mshenzi ni weweYanga kwakweli hamna shukrani kwa mungu Manji amewalea kwa miaka km 7.leo kupata matatizo sioni yanga wakaandika msg japo za kumuombea Manji Afya njema kule rokap ama kweli ni bora kumfadhiri mbuzi kuliko binadamu. Naona yanga mnatuma msg za kukashifu simba tu yanga washenzi
Sent using Jamii Forums mobile app