Je Usajili Huu Unampa Simba Ubingwa?

Je Usajili Huu Unampa Simba Ubingwa?

Kuna tofauti baina ya kitambaa na nguo, viungo na mchuzi.Kwenye Fainali za Kombe la Dunia zilizochezwa Korea ya Kusini na Japan, licha ya kuwa ni Bingwa Watetezi, Ufaransa ilikuwa na mwanasoka bora wa Dunia (Zidane) mfungaji bora wa Ligi ya Uingereza (Henry), Mfungaji bora wa Ligi ya Ufaransa (Djibril Cisse) na mfungaji bora wa Ligi ya Italia (Treziguet). Unakumbuka ilikuwaje? Walitolewa hatua ya awali ya makundi bila ya kuambulia hata goli!
Nakumbuka walipigwa na Senegal,mechi hiyo niliiangalia asubuhi saa3 hivi na Senegal akaenda robo final.
 
Simba ndio timu pekee inaenda vinja rekodi yake ya invincibility ya msimu mzima msimu huu!
 
Hawawezi kuchukua ubingwa, mbona kila mwaka wanasajiri vizuuri lakini si mnaonaaa. Tena mwaka huu hata nafasi ya Pili hawachukui.
Tuombe uzima , inshallah mwezi Mei 2018 Mwenyezi Mungu atuweke hai.
Haji Manara alitaamba mwisho wake si mlionaa?
Huwezi kusajiri wachezaji 12 wapya as if timu ilishika nafasi za chini.
Kilichotakiwa ni kuboresha tu baadhi ya maeneo yaliyoonesha udhaifu.
Wachezaji wakikaa pamoja hujenga chemistry au tuseme combination nzuri na maelewano mazuri pia kujuana kila mmoja udhaifu wake.
Sasa Simba kila mwaka mnasajiri timu nzima wachezaji watazoeana lini?
Poleni sana wana Dhimba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka huu imesajili wahenga.
Mwakani watasajili yoso tena.
Madera FC Wana vituko sana
 
d0d4c2eadd4a73fefbedd0816adea318.jpg
 
Yanga kwakweli hamna shukrani kwa mungu Manji amewalea kwa miaka km 7.leo kupata matatizo sioni yanga wakaandika msg japo za kumuombea Manji Afya njema kule rokap ama kweli ni bora kumfadhiri mbuzi kuliko binadamu. Naona yanga mnatuma msg za kukashifu simba tu yanga washenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga kwakweli hamna shukrani kwa mungu Manji amewalea kwa miaka km 7.leo kupata matatizo sioni yanga wakaandika msg japo za kumuombea Manji Afya njema kule rokap ama kweli ni bora kumfadhiri mbuzi kuliko binadamu. Naona yanga mnatuma msg za kukashifu simba tu yanga washenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshenzi ni wewe
 
Back
Top Bottom