Gracious philipo
New Member
- May 1, 2023
- 4
- 5
Kapime kama una mimbaJe, ndugu ushawahi kukumbwa na hii hali ya kumchukia mtu bila sababu?
Hii hali imekuwa ikinipata kwa nyakati tofauti kulingana na eneo nililopo yaani najikuta namchukia mtu fulani hajawahi nikosea chochote lakini najikuta tu nafsi yangu haimpendi ata kumuona tu
Hapana ndg sio hivyo maana kuna mwingine najikuta namchukia lakini hana kitu chochote cha kunizidi kabisa.Hakunaga chuki isiyo na sababu ..
Yawezekana hata maelezo yako yakawa sababu...
Umelelewa vibaya....unajikuta na wivu na kila aliekuzidi kitu mwisho wivu unageuka chuki