Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

"kuoshea watu vyombo" ndo kufanyaje kapeace?
 
Unajua kila kabila lina namna yake ya ku react wanapofumaniana. Hebu imagine ufumaniwe na Mkurya/Mtende kama hujaondoka kiungo kimoja huna, Muhaya akifumania hana noma, Mzaramo akimfumania mkewe atasogea pembeni aanze kulia huku anawaangalia wanavopiga game, halafu huyo mgoni wake akiondoka Mzaramo anatoa pole kwa mkewe 'Mke wangu pooolee'
 
Hahahaha
Wachaga je
 
Hahahaa Mbavu zangu "kweli kiboyaboya "hahaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…