Je, ushawahi kumfumania mpenzi wako au kufumaniwa? Ilikuwaje?

Due to trend za thread this past week, this came in my mind. Je kwa walio experience hebu watueleze how was it?

On my side hii siku siwezi isahau kamwe. And as much as I wish to forget ila inashindikana. 6 years ago, nikiwa zangu ughaibuni I was dating a certain lady. Kwakweli nilimpenda sana and it was those days when I was young and innocent. Alikuwa mtanzania so we used to click sana mpaka tukawa tunapanga kufunga ndoa in the future, nilimuamini sana, yaani every time I think of it najiona nilikuwa so stupid. Basi kila mtu alikuwa anaishi kwenye apartment yake, sasa siku mmoja alfajiri hivi kama mida ya saa 5:00 I woke up and sikuweza pata usingizi. Nilikuwa kwangu siku hio and my instincts zikaniambia niende kwa mpenzi wangu, maybe ataniliwaza. Nikatoka alfajiri na ka scooter changu mpaka kwake, usiku wake ule hakuniaga goodnight na simu zake zilizimwa.

Basi kufika kwake, nikakuta kafunga maana i could not open na key alionipa. So nikagonga several times bila response. Baadae nikasikia hatua then akaja kufungua, Sasa kulikuwa na magazeti yamepitishwa kwa chini so akajua labda ni milk man au delivery guy ndio maana nahisi alifungua. Baada ya kuniona alishtuka sana, nakuniuliza vipi mbona mapema hii, nikasema nimekosa usingizi nimeamua kuja kwako. Ali suggest tukae sitting room mm nikasema ngoja niende washroom mara mmoja. Akajaribu nizuia kwa romance ila nikasisitiza kuwa i need to go for a short call

Jamani ndugu zangu, hivi vitu visikie kwa jirani tu. Alianza nizuia akilia which triggered my anxiety na kuenda chumbani only to find ANOTHER DUDE IN HER BEDROOM akiwa na boxer tu, what happened next siwezi elezea ila it remains a nightmare.
oh jaman pole sana mpendwa wangu sana sana SANA

ulimpiga au ulimwuua?!
 
mimi nimetoka kumfumania mwanaume juzi wallah sikuamini macho yangu....hapa nilipo sina hamu
Kazi uliokuwa unaitafuta ushaipata ya hoteli zanzibar???
Na kiwanja ulichokuwa unakiulizia ukinunue maeneo ya Arusha ushapata??

Wewe Tuchki hauko seriouz na maishaaa aiseee.
 
doh we mbona unamjua sana huyu demu?
che JF mnajuana chini chini alafu mnakuja juu tuwahurumie mkipigwa kiru!
 
Due to trend za thread this past week, this came in my mind. Je kwa walio experience hebu watueleze how was it?

On my side hii siku siwezi isahau kamwe. And as much as I wish to forget ila inashindikana. 6 years ago, nikiwa zangu ughaibuni I was dating a certain lady. Kwakweli nilimpenda sana and it was those days when I was young and innocent. Alikuwa mtanzania so we used to click sana mpaka tukawa tunapanga kufunga ndoa in the future, nilimuamini sana, yaani every time I think of it najiona nilikuwa so stupid. Basi kila mtu alikuwa anaishi kwenye apartment yake, sasa siku mmoja alfajiri hivi kama mida ya saa 5:00 I woke up and sikuweza pata usingizi. Nilikuwa kwangu siku hio and my instincts zikaniambia niende kwa mpenzi wangu, maybe ataniliwaza. Nikatoka alfajiri na ka scooter changu mpaka kwake, usiku wake ule hakuniaga goodnight na simu zake zilizimwa.

Basi kufika kwake, nikakuta kafunga maana i could not open na key alionipa. So nikagonga several times bila response. Baadae nikasikia hatua then akaja kufungua, Sasa kulikuwa na magazeti yamepitishwa kwa chini so akajua labda ni milk man au delivery guy ndio maana nahisi alifungua. Baada ya kuniona alishtuka sana, nakuniuliza vipi mbona mapema hii, nikasema nimekosa usingizi nimeamua kuja kwako. Ali suggest tukae sitting room mm nikasema ngoja niende washroom mara mmoja. Akajaribu nizuia kwa romance ila nikasisitiza kuwa i need to go for a short call

Jamani ndugu zangu, hivi vitu visikie kwa jirani tu. Alianza nizuia akilia which triggered my anxiety na kuenda chumbani only to find ANOTHER DUDE IN HER BEDROOM akiwa na boxer tu, what happened next siwezi elezea ila it remains a nightmare.
Idiot
 
Back
Top Bottom