Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Mambo ya kutajwa jina..
Nakumbuka miaka mingi nkiwa secondary .mi sina hili wala like monitor ananipa story,ooh nna rafiki yangu yuko kidato cha chini yetu,kafall in love na wewe vibaya ila anakuogopa!
Miaka ya baadae kijana nkaja kutana nae mtaani bado tu.nkaona ngoja nijaribu

Baada ya kama mwezi akashikwa na homa Kali hadi analegea..katundikiwa dripu mfululizo hawez nyanyuka..cha ajabu ndugu take ananiambia mda wote anakutaja wewe tu..nkabaki tu naduwaa
 
Mbona mara kibao tu.
 
Usinikumbushe aisee.. nilipendana na mmoja hivi. Siki yakuja kukutana nilijuta na nilijiona bonge la K. (Kima)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…