Mie mbona na hisia hizo kwako madam. Naamini inatokea haswa,,,amini kwamba 😆Yes it’s possible tena sana tu, Mimi imeshanitokea. Ila kuomba Mungu huyo mtu awe wa kuaminika.
🤣🤣🤣🤣🤣 heheh huyo mdada yupo wapi sikuhizi maana sio kwa mashauzi hayo aisee. Kwamba kijana wa watu alikuwa na muonekano wa kishamba au alionekana kolo tu? Napenda sana kujua huyo mrembo ameishilia wapi sikuhizi maana si haba ukute kazalishwa na kondakta pamoja na tambo zote hizo 😂😂😂Mmenikumbusha mbali sana.
Kuna rafiki yangu alikutana na mdada online wakapendana sana, basi wakapanga wakutane katika bar moja jijini. Yule kaka ni mtoto wa kishua sana na wazazi wake wapo poa mno. Akamuomba mama yake amdrive mpaka hiyo bar ili akutane na huyo mdada, wakimaliza atampigia amfuate.
Basi mkaka akafika Eneo la tukio akaagana na Bi mkubwa na kumuahidi akimaliza amjulishe amfuate. [emoji23][emoji23] Baada ya Dk 5 yule mdada akafika eneo la tukio, mmmmmmh mambo si mambo mdada mrembo haswa. Walisalimiana na kuagiza vinywaji, yule dada akaomba kwenda toilet kabla hata ya kuonja Soda. Kilichotokea ni aibu [emoji23][emoji23][emoji23] Yule dada alitokomea huko huko toilet [emoji85][emoji85]. Yule mama hata hakufika home ikabidi arudi kumfuata kijana wake.
🤣🤣🤣🤣🤣 heheh huyo mdada yupo wapi sikuhizi maana sio kwa mashauzi hayo aisee. Kwamba kijana wa watu alikuwa na muonekano wa kishamba au alionekana kolo tu? Napenda sana kujua huyo mrembo ameishilia wapi sikuhizi maana si haba ukute kazalishwa na kondakta pamoja na tambo zote hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
hahaha sijakataa ila mwanamke anaejiona matawi kutukataa wananchi wa hali ya chini tunatarajia achukuliwe mazima na raia wenye nyadhifa zao. Sio mabaharia 😂😂😂We mzee bhana na sisi makondakta wa deiwaka ni watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa mkuuhahah taste and preferences change with time[emoji1787]
Mkuu samahani kumbe kesha wahiwa?baharia kuwa na adabu na ilo apple jekundu ni mali ya mzee hapa[emoji16][emoji16][emoji16]
Unaulizia vumbi na buibui stoo? Imeisha hio!!!Mkuu samahani kumbe kesha wahiwa?
Mimi nimekupenda ila sijawahi kukuona myYeah ni kweli. Unaweza kumpenda mtu kama hata ka hujawai kumuona.
Me ishawai kunitokea.
AsanteHaya nakupenda
Haya nakupenda
Nimekumbuka Mbalii.
Tulipendana na mkaka mwaka mzima kuongea usiku mpaka Kuna kucha...wakati Niko boarding 6 hapo ye alikua mkoa mwingine nimemaliza chuo nikabaki mjin kwa mamdogo Kama two weeks namsubir aje tuonane ndo alipata likzo yake na nilipo ndo mkoani kwao
Looh sitasahau nilivyomuona nilitaman kukimbia sema ndo hivo tu ubinaadam
Mimi nimekupenda ila sijawahi kukuona my
tuyajenge myAsante mkuu
SanaaNgoma Kali sana hii
HahahahahahaHahaa usiniambie ulinidanganya
Sina ujinga wa kupenda penda mmNisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila cha ajabu sasa juzi alinipigia cm,akasikia kama sauti za kike zinaongea akakata cm,halafu akampigia huyo rafiki alienipa namba Mimi na kimsimulia kilichotokea,na ni mtu anaeonekana ananipenda sana japokuwa hatujaonana, je ilishawah kukukuta situation kama hii,je mlivokuja kuonana upemdo uliendelea au ulipungua?
Vipi kwa upande wako Brenda fassie???
Unapgwa porojo tu ww hahaaaBaada ya kuzinduka mama ake na huyo binti alimpigia yule rafiki ake alonipa namba na kumuuliza unamfahamu mtu flani, mbona rafiki yako alivozinduka anataja jina la huyo mtu(ambaye ni Mimi sasa) yule lakin ye akasema halifaham hilo jina,labda watamuuliza mwenyewe akirudi vizuri kwenye hali yake
Mkuu huyo kwa avata ni wwAsante