Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

🤣🤣🤣🤣🤣 heheh huyo mdada yupo wapi sikuhizi maana sio kwa mashauzi hayo aisee. Kwamba kijana wa watu alikuwa na muonekano wa kishamba au alionekana kolo tu? Napenda sana kujua huyo mrembo ameishilia wapi sikuhizi maana si haba ukute kazalishwa na kondakta pamoja na tambo zote hizo [emoji23][emoji23][emoji23]

Yule mrembo kamblock rafiki yangu. Tatizo sio pesa kabisa, Mimi nilichogundua ni muonekano. Rafiki yangu ana sura nzuri ila kitambi sasa ndo shida [emoji23]. Good news he is engaged na anaoa next year.
 
Nisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila cha ajabu sasa juzi alinipigia cm,akasikia kama sauti za kike zinaongea akakata cm,halafu akampigia huyo rafiki alienipa namba Mimi na kimsimulia kilichotokea,na ni mtu anaeonekana ananipenda sana japokuwa hatujaonana, je ilishawah kukukuta situation kama hii,je mlivokuja kuonana upemdo uliendelea au ulipungua?
Ndio
 
hahahah wewe ndie unampenda zaidi! pole kaka,
 
Mimi imenitokea sana na bado inanitokea kusema kweli. Nawapenda hawa watu watatu nawasifu lakini sijawahi kuwaona live
NAKUPENDA YESU, MARIA NA YOSEPH
 
Agata wangu.
Bora umekuja ni wewe ujue.
Mimi nimeadmire miandiko yako tu[emoji7]
Agata wangu, ananichimba chimba huyu. Hajui kama me ni wako.
Aaah sikutaki tena umenishinda [emoji2088] [emoji2088] [emoji2088] [emoji2088]
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24] Usifanye hivyo pls.

Felister

Njoo unisaidie naachwa bila kosa. Njoo umwambie ule ulikuwa utani tu.
Eeeeh... Ulikuwa unanitania?[emoji22]
Nishafanya maamuzi
Nawezaje kuishi bila wewe. Embu nambie pls. Kosa langu lipi mamaa.

Kaka Extrovert msaada wako pls kibuti kinataka kunihusu. Okoa jahazi.
Kutongoza mbele yangu
Hapana mpenzi umenukuu vibaya bana ni wapi nimesema namtaka.
Naona kabisaa weekend yangu ikiharibika...

Ila Nashukuru sana jamani handsome, melifahamu hilo mapema mimi ..
 
Naona kabisaa weekend yangu ikiharibika...

Ila Nashukuru sana jamani handsome, melifahamu hilo mapema mimi ..

Weekend bado haijaharibika kigori. Ngoja jioni tutayazungumza haya.
Kuwa na subira.

Kumbuka tunapaswa kuepuka kufanya maamuzi wakati una hasira sana au furaha sana. Pls kuwa na subira.
 
Halafu kinachoniuma mara ya mwisho nilikuwa nawasiliana nae mimi, nakumbuka akaniambia subiri kidogo, basi nikakata cm,kuanzia hapo ndo akawa hapatikani kama siku tatu hv wakati sio kawaida yake, ndo nikaja kupigiwa na rafiki yake akaniambia aligongwa na pikipiki mid a ya saa moja jioni,na yupo I.c.u,hajitambui,ndo akaja kuzinduka kesho yake, na alivozinduka ndo akawa anataja jina langu,daah aiseee
Ha ha wewe ndugu yangu unaonekana upo very innocent michezo yetu ya janja janja hauijui,kila la heri
 
Back
Top Bottom