Sanchez magoli
JF-Expert Member
- Apr 24, 2015
- 4,056
- 8,549
ulifanya la maanaHamna adhabu babake
Mimi niliuchoka ukivuli ikabidi niachane naye tuu
Kuliko kuweka matumaini pasipo na kitu.
ulifanya la maanaHamna adhabu babake
Mimi niliuchoka ukivuli ikabidi niachane naye tuu
Ukifungua ka thread utaleta tafrani sana
Inatakiwa iwe mwenye kuvumilia mpaka mwisho ndiyo atakayeuona ufalme
[emoji23][emoji23][emoji23]
agata edward Dada tafadhali usimuache kaka angu jamani. Si tulikuwa katika matani tu ya kuchangamsha keyboard.😭😭😭😭 Usifanye hivyo pls.
Felister
Njoo unisaidie naachwa bila kosa. Njoo umwambie ule ulikuwa utani tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmenikumbusha mbali sana.
Kuna rafiki yangu alikutana na mdada online wakapendana sana, basi wakapanga wakutane katika bar moja jijini. Yule kaka ni mtoto wa kishua sana na wazazi wake wapo poa mno. Akamuomba mama yake amdrive mpaka hiyo bar ili akutane na huyo mdada, wakimaliza atampigia amfuate.
Basi mkaka akafika Eneo la tukio akaagana na Bi mkubwa na kumuahidi akimaliza amjulishe amfuate. [emoji23][emoji23] Baada ya Dk 5 yule mdada akafika eneo la tukio, mmmmmmh mambo si mambo mdada mrembo haswa. Walisalimiana na kuagiza vinywaji, yule dada akaomba kwenda toilet kabla hata ya kuonja Soda. Kilichotokea ni aibu [emoji23][emoji23][emoji23] Yule dada alitokomea huko huko toilet [emoji85][emoji85]. Yule mama hata hakufika home ikabidi arudi kumfuata kijana wake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mshenzi wewe una nini lakini umenifanya nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishangaa kwani Eric Omondi ana nini jamani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kukimbia ili iweje madam au ulikutana na kijamaa kama eric omondi [emoji23]
Bila shaka kilichofuata ni manyoya kunyonyokaKwenye social media unakuta mtu anaweka picha yake nusu,sasa moja nikavutiwa nayo nikamuendea inbox.Tukawa tunaendelea kuwasiliana,kupeana details mbalimbali na shughuli za kila mmoja.Siku moja akasema mwenyewe simu yake inapata shida ya internet so akatoa namba incase nikihitaji tuwasiliane kwa njia ya simu/sms n.k.Ikatokea siku nimepata trip ya Mkoa alipo nikamwambia tukaonana,,,,Bwanabwanaaa Mtoto Mashallah.Nikamuuliza mbona median umeweka picha nusu (akasema wandewa wakiona picha nzuri wanasumbua sana).Kilichofuata I.T.V naishia hapo,
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] heheh huyo mdada yupo wapi sikuhizi maana sio kwa mashauzi hayo aisee. Kwamba kijana wa watu alikuwa na muonekano wa kishamba au alionekana kolo tu? Napenda sana kujua huyo mrembo ameishilia wapi sikuhizi maana si haba ukute kazalishwa na kondakta pamoja na tambo zote hizo [emoji23][emoji23][emoji23]
Oya kusema bado uja panga kwenda kukutana nae auHalafu kinachoniuma mara ya mwisho nilikuwa nawasiliana nae mimi, nakumbuka akaniambia subiri kidogo, basi nikakata cm,kuanzia hapo ndo akawa hapatikani kama siku tatu hv wakati sio kawaida yake, ndo nikaja kupigiwa na rafiki yake akaniambia aligongwa na pikipiki mid a ya saa moja jioni,na yupo I.c.u,hajitambui,ndo akaja kuzinduka kesho yake, na alivozinduka ndo akawa anataja jina langu,daah aiseee
Sawa my, ila usiniache myKuna kijana humu hata akilaiki comment yangu nachanganyikiwa wacha nimvutie kasi.
Kuna mwalimu mkuu mmoja anafundisha primary school mmoja mtwara, baada ya shughuli za ualimu huwa anachoma mishikaki stendi kuu ya mtwara na kuanza kua kimbizia wateja.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani kondakta siyo mwanaume? Asiwe muhuni tu kama ana mapenzi ya kweli mbona fresh tu
[emoji23][emoji23]Ila dem nikimwambia aniambie yupoje,ananiaambia yeye ni mwembamba ila amenenepa kuanzia kiunoni kushuka chini,kumbuka yupo kijijin mtwara huko na huko hakuna smart phone ni mwendo wa vitochi tu, hapo kwenye kutanuka kuanzia kiunoni kushuka chini ndo huwa nadata.
Aisee, "ndo ukome na kujifanya kwako fundi" hapa sioni upendo kabisa wallah.Hahahaaaaa ndo ukome na kujifanya kwako fundi!
Nakupenda japo sikujui![emoji8]
Kuna mwalimu mkuu mmoja anafundisha primary school mmoja mtwara, baada ya shughuli za ualimu huwa anachoma mishikaki stendi kuu ya mtwara na kuanza kua kimbizia wateja.
Anadai mke wake huwa akimkuta katika hali hiyo, mke Mara nyingi humkimbia na kumkwepa.
Sasa makonda uta waweza wewe, neno mmoja linalofuata ni tusi kwao
Wewe ulijuaje kama anakutaja wakati hamjaonana means mnakaa eneo tofauti?Daaah aiseee, yaani huyu wa kwangu juzi kati alipata ajali akapoteza faham,sasa wakati anazinduka akawa anataja jina langu,sasa ndugu wakawa wanajiuliza huyu ni nani anatajwa bila kujua chochote,kumbuka hajawahi kuniona hadi naogopa
unajua kuna level ya majivuno inasababisha watu tuanze kuona mtu anatakiwa awe flawless🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwani kondakta siyo mwanaume? Asiwe muhuni tu kama ana mapenzi ya kweli mbona fresh tu
Waume masikini na waaminifu wapo wengi tu mkuu; tatizo la waume wengi masikini ni kushindwa timiza vizuri majukumu yao ya familia hasa kwenye maswala maradhi, chakula, na emergency za mbali mbali za kifedha zinazotokeagaYeah ndo maana nikasema asiwe muhuni na awe na mapenzi ya kweli na pia siyo makondakta wote wako hivyo kuna makondakta pamoja na hali ngumu za maisha walizonazo na maswahibu wanayopitia kila kukicha bado ni wastaarabu na ni wapole
Mimi kwangu kipaumbele ni mapenzi na siyo pesa kuliko kupata mume tajiri lakini ananinyanyasa au ananisaliti ni bora nipate mume masikini lakini ni mpole na muaminifu na siyo yule ambaye yuko hivyo kwa sababu tu ni masikini hapana bali yule ambaye yuko hivyo kiuhalisia kabisa sema tu ndo ngumu kuwapata
Yeah ndo maana nikasema asiwe muhuni na awe na mapenzi ya kweli na pia siyo makondakta wote wako hivyo kuna makondakta pamoja na hali ngumu za maisha walizonazo na maswahibu wanayopitia kila kukicha bado ni wastaarabu na ni wapole
Mimi kwangu kipaumbele ni mapenzi na siyo pesa kuliko kupata mume tajiri lakini ananinyanyasa au ananisaliti ni bora nipate mume masikini lakini ni mpole na muaminifu na siyo yule ambaye yuko hivyo kwa sababu tu ni masikini hapana bali yule ambaye yuko hivyo kiuhalisia kabisa sema tu ndo ngumu kuwapata