Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mshenzi wewe una nini lakini umenifanya nimecheka kwa nguvu hadi watu wamenishangaa kwani Eric Omondi ana nini jamani?
😂😂😂😂😂😂😂😂 aisee
 
Yeah ndo maana nikasema asiwe muhuni na awe na mapenzi ya kweli na pia siyo makondakta wote wako hivyo kuna makondakta pamoja na hali ngumu za maisha walizonazo na maswahibu wanayopitia kila kukicha bado ni wastaarabu na ni wapole

Mimi kwangu kipaumbele ni mapenzi na siyo pesa kuliko kupata mume tajiri lakini ananinyanyasa au ananisaliti ni bora nipate mume masikini lakini ni mpole na muaminifu na siyo yule ambaye yuko hivyo kwa sababu tu ni masikini hapana bali yule ambaye yuko hivyo kiuhalisia kabisa sema tu ndo ngumu kuwapata
Hahahah ugumu uko wapi jamani mbona hata mimi kondakta mama
 
Hatari sana... inatokea kwetu sisi binadamu...

Haswa pale unapo wasiliana na mtu ambae hamjawahi kuonana na mnajikuta wote mnakua wapole, wakarimu, mnajaliana...

Kuna ile kitu inaitwa kimuhemuhe... cha kutaka kumjua zaidi au kumuona...



Cc: mahondaw
 
unajua kuna level ya majivuno inasababisha watu tuanze kuona mtu anatakiwa awe flawless[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndo maana tunaambiwa tujikubali kama tulivyo sasa kujikubali haimaanishi kwamba mtu yuko flawless ukisubiri eti uwe flawless ndo ujikubali basi utasubiri sana na vile vile mwanamke akijikubali haimaanishi kwamba ndo anatakiwa awe na mwanaume mwenye kila kitu hapana kila mwanamke ana vigezo vyake kwa mwanaume anayemtaka

Naweza kuwa najikubali kupitiliza hadi nakera watu ila nikaja kupata mwanaume hana mbele wala nyuma hamna anayemuelewa ila mimi ndo nimempenda hivyo hivyo kwa sababu pamoja na kwamba ni masikini au mbaya ila kuna vigezo fulani tofauti na hivyo ambavyo ninavitaka yeye anavyo ujue utajiri na uzuri siyo kipaumbele kwa kila mtu ila jamii tu ndo imejiwekea hivyo ndo maana haya yote yanatokea
 
Kwani na mimi si natafuta mkuu? Kwangu mimi mwanaume anayenijali, anayenipenda, mpole na muaminifu kutoka moyoni (siyo kwa kuigiza) hata mimi niko tayari kumhudumia na kumheshimu kama kawaida maana ni bidhaa adimu sana hiyo
Waume masikini na waaminifu wapo wengi tu mkuu; tatizo la waume wengi masikini ni kushindwa timiza vizuri majukumu yao ya familia hasa kwenye maswala maradhi, chakula, na emergency za mbali mbali za kifedha zinazotokeaga

Hapo wengi ndio huwa mnajikuta mnaanza angalia watu nje wakuwasaidia majukumu hayo.

Misemo ya kuwa kweli nampenda Mme wangu ila ni shida tu ntafanyaje hapa ndo huanza kutamaraki
 
Hahahaha umenielewa sana ila basi tu jeuri nimesema makondakta wapole waaminifu wenye upendo wa dhati na wanaojua kujali ndo wagumu kupatikana
Hahahah ugumu uko wapi jamani mbona hata mimi kondakta mama
 
Hahahaha umenielewa sana ila basi tu jeuri nimesema makondakta wapole waaminifu wenye upendo wa dhati na wanaojua kujali ndo wagumu kupatikana
😂😂😂😂😂😂😂 Hahaha hamna kondakta mpole...Well jamaa wapo real sana. Kwa wanawake wanaotafuta real guys makonda ni mfano mzuri wa aina hio ya wanaume japo wengine ni ignorant ndio wale wanaotukana ovyo na mineno ya shombo.

Ila ukimkuta konda aliekulia kwenye ustaarabu wanakuwaga freshi kinoma.
 
Ndo maana tunaambiwa tujikubali kama tulivyo sasa kujikubali haimaanishi kwamba mtu yuko flawless ukisubiri eti uwe flawless ndo ujikubali basi utasubiri sana na vile vile mwanamke akijikubali haimaanishi kwamba ndo anatakiwa awe na mwanaume mwenye kila kitu hapana kila mwanamke ana vigezo vyake kwa mwanaume anayemtaka

Naweza kuwa najikubali kupitiliza hadi nakera watu ila nikaja kupata mwanaume hana mbele wala nyuma hamna anayemuelewa ila mimi ndo nimempenda hivyo hivyo kwa sababu pamoja na kwamba ni masikini au mbaya ila kuna vigezo fulani tofauti na hivyo ambavyo ninavitaka yeye anavyo ujue utajiri na uzuri siyo kipaumbele kwa kila mtu ila jamii tu ndo imejiwekea hivyo ndo maana haya yote yanatokea
Hapo ndio utakuwa genuine. Love matters kwa wanaopendana sio kwa jamii inayowazunguka.
 
Nimekumbuka Mbalii.
Tulipendana na mkaka mwaka mzima kuongea usiku mpaka Kuna kucha...wakati Niko boarding 6 hapo ye alikua mkoa mwingine nimemaliza chuo nikabaki mjin kwa mamdogo Kama two weeks namsubir aje tuonane ndo alipata likzo yake na nilipo ndo mkoani kwao

Looh sitasahau nilivyomuona nilitaman kukimbia sema ndo hivo tu ubinaadam
Dah...kumbe ni wewe [emoji44][emoji2960]
 
Yeah sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hahaha hamna kondakta mpole...Well jamaa wapo real sana. Kwa wanawake wanaotafuta real guys makonda ni mfano mzuri wa aina hio ya wanaume japo wengine ni ignorant ndio wale wanaotukana ovyo na mineno ya shombo.

Ila ukimkuta konda aliekulia kwenye ustaarabu wanakuwaga freshi kinoma.
 
Back
Top Bottom