Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Siku zote kupenda/kutamani huanza na fikra zisizothibitika...
Hivyo ni jambo la kawaida sana kwa kila mmoja wetu na wengi hututokea...
Kasie hebu sogea huku mama wa makrashi...
Hahahahhahahaaa waatuuu maambo, makumithiiii.... fanya mchakato wa fruits party (natumai uneelewa, kama hujaelewa itakuwa hujavuta ze bangee long kitambo) umwambie pa cha wako akuazime msuba kidogo hehehe.
Umenikumbusha enzi za crush, hapo nilikuwa na fall kwa jicho la hamad uso kwa uso...
Ila acha nielezee uzoefu wangu humuhumu JF.
Tumetaniana na kusemeshana sana kwenye majukwaa humu jamvini ilhali hatujuani, ila tulikuwa tumezoeana kama tunaishi pamoja, hatukuwa na mipaka.
Baada ya muda vimelea vya mapenzi bin Mahaba vikaanza kujaa akilini mwangu nikimuwaza kuwa inakuwaje tukiwa wapenzi...
Siku ya siku akanijia PM nami sikufanya ajizi...
Baada ya kitambo tukawa secret lovers... Ikafika wasaa tukapeana mawasiliano huko nje huko weeh ikawa raha zaidi ya hapa....
Siku ya siku tukaonana mahali panaitwa SatoSangara.... Najua mwenyewe ameshaelewa...
Much love and big shout out to you Dadii.... Mmuah!!
Mahaba yetu yalianzia tukiwa hatujuani, tulipo onana uso kwa uso ikawa whaat, where was I all this time... Am so into him so does he.... Aahahahahahahaaa najua kuna mtu atakuja kunirekebisha lugha hapa, you know whaat.....
Am So Happy it's already weekend....