dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 623
- Thread starter
- #281
Si ndo apo mkuu,si bora huyu aliedondosha chozi kwa ajili yangu[emoji23][emoji23][emoji23]hata wakisikia umetobolewa macho.
Ni wakavu tu
Si ndo apo mkuu,si bora huyu aliedondosha chozi kwa ajili yangu[emoji23][emoji23][emoji23]hata wakisikia umetobolewa macho.
Ni wakavu tu
Hongera usimwache huyo.Si ndo apo mkuu,si bora huyu aliedondosha chozi kwa ajili yangu
Umeipenda hiyo Ngoma enhNilitaka ni download hapa nimeshindwa😯
We mkali asante sanaaaUmeipenda hiyo Ngoma enh
1. Copy URL kwenye Youtube video au andika ila ondoa space zote hii uanze na https : // youtu.be/ jjnmI CxvoVY
2. kisha Fungua hii wesite hii https://www.onlinevideoconverter.com/youtube-converter
3. Utaipaste hiyo link kwenye namba 1. Make sure Format isome Mp4 kwa video na mp3 kwa Audio n.k kisha bonyeza Start !
4. Itaenda hadi 100% ikimaliza Bonyeza Download
5. Tayari nenda kwenye download file ule mziki wa Video
Savage Garden - I Knew I Loved You (Official Video)
6. Ukifanikiwa gonga Like.
Or Download attachment hapo down kazi kwako
Namjua huyo wa kawaida sana kakaMimi huyu wa kwangu ukimuuliza muonekano wake anajiamini sana, anasema mungu kampendelea hataki kumkufuru mungu,pia kumbuka Mimi nnaishi na rafiki yake nae huwa anamsifia sana muonekano wake,kwahiyo ndo maana nnacomfidence kidogo,
Hilo jisong ndio ringtone yangu aiseeAsa
We mkali asante sanaaa
Nami nimeshaliweka mkuuHilo jisong ndio ringtone yangu aisee
Au mimi ...hebu mtajeeKuna mtu huku nimempenda ata simjui
Kawaida tu vitu vya internet you can do moreAsa
We mkali asante sanaaa
Ndio mimiKuna mtu huku nimempenda ata simjui
Ahahahahah...mzee mbona unatobia siri za watu hadharani.Kwahiyo huyu ndio demis au sio??Tusimulie kidogo demi
Haya mambo ya umiseta umenikumbusha mwaka flani pale iringa kulikua na game zainapigwa viwanja vya don bosco kti ya Tosamaganga na Mkwawa high school ebwana eee.Timbwil lililojitokeza siku hiyo sitakaa nisahau balaa lake.Na enz hiz wanafunz wa advance walikia mading kwel sio kama hawa wa leo ..zilipigwa ngumi siku hiyo ffu wenyewe walikaa pemben kwanza.Maana watu walimwagiana mpaka tindikali..umiseta umiseta kwel.Hii ilikuwa UMISETA ya wapi?
Tanga, Mwanza au Arusha? maana hivyo vituo ndio vilikuwa na UMISETA zenye mambo haswa...
Jib la kikauzu sana hili.Mtu ankwambia anakupenda halaf unajibu "ahsante mkuu".Asante mkuu
[emoji23][emoji23]Jib la kikauzu sana hili.Mtu ankwambia anakupenda halaf unajibu "ahsante mkuu".
Ahahahahah.Hii ni straight "indirect" rejection.
Bora hiyo mkuu usingeiweka umpe moyo kidogo
Akili zako dooh. .usisahau ushauri wanguHatari sana... inatokea kwetu sisi binadamu...
Haswa pale unapo wasiliana na mtu ambae hamjawahi kuonana na mnajikuta wote mnakua wapole, wakarimu, mnajaliana...
Kuna ile kitu inaitwa kimuhemuhe... cha kutaka kumjua zaidi au kumuona...
Cc: mahondaw