Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Nisiwachoshe, kuna msichana nilipewa namba yake na nikaelezwa jinsi alivyo nayeye akapewa namba yangu akaelezwa jinsi nilivyo,basi tukaendelea kuwasiliana na kupanga mipango ya kuja kukutana,Ila cha ajabu sasa juzi alinipigia cm,akasikia kama sauti za kike zinaongea akakata cm,halafu akampigia huyo rafiki alienipa namba Mimi na kimsimulia kilichotokea,na ni mtu anaeonekana ananipenda sana japokuwa hatujaonana, je ilishawah kukukuta situation kama hii,je mlivokuja kuonana upemdo uliendelea au ulipungua?
Love is just a state of mind ukiamua unaweza penda hata kuku, Hakuna miujiza.
 
Nimekumbuka Mbalii.
Tulipendana na mkaka mwaka mzima kuongea usiku mpaka Kuna kucha...wakati Niko boarding 6 hapo ye alikua mkoa mwingine nimemaliza chuo nikabaki mjin kwa mamdogo Kama two weeks namsubir aje tuonane ndo alipata likzo yake na nilipo ndo mkoani kwao

Looh sitasahau nilivyomuona nilitaman kukimbia sema ndo hivo tu ubinaadam
Alikuwa na sura ya kunyweshea mtoto uji?
 
Back
Top Bottom