Je, ushawahi kumpenda mtu ambaye haujawahi kumuona?

Aah mimi ni ndugu msomaji tu kwenye hii thread [emoji1][emoji1]
Lakini inawezekana mkapendana na mambo yakawa mazuri sana[emoji5]

Okay, inabidi ujaribu upate ushahidi kabisa

Bado nasubiri jibu lile [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji1549][emoji1549][emoji1549]
 
Eehh mzee baba komaa nae huyo usimwache aende...
yani the same to me hiyo kitu ishanitokeaga ila bad news nilikataliwa kwao yule dada kwa kigezo cha dini aisee niliumia ila sikua na namna ilibidi tutengane tu maana familia yake ilishika kidedea ikafikia hatua nikawa nawindwa aisee.
Ngoja nikomae nae anaweza akawa wife,maana mi mwanamke nikimsababisha alie kwa ajili yangu huwa ananivutia sana,maana hawa wengine ni sijawahi kuona machozi yao hata wakisikia nimetobolewa macho,yaan ni wakavu tu.
 
Ukiona manzi/demu anakupenda sanaa kabla hajakuona ... Huyo demu atakua mbayaaa... Yani mbovuuu ... Wahuni wanaita KITEWE... Afu hajielewi na atakua malaya huyo.

Kama una akili timamu na unajielewa ..ukipata kontact za mtu unayehitaji kuanzisha uhusiano nae fanya juu chini umuone then ndio uingize masuala ya mapenzi.. Otherwise it doesn't make sense at all... Mkijikuta mnaingia kwenye mahaba wote mkltakuwa vichaa...
 
Mie mbona na hisia hizo kwako madam. Naamini inatokea haswa,,,amini kwamba [emoji38]

[emoji16][emoji16][emoji16] inaweza ikatokea lakini isifike mwisho. Ni hivi mimi nikiwa na mtu nataka awe wangu tu, sitaki atongoze Wala kuchekacheka na vidada 🀣. Nataka mwanaume serious, unaweza? [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…