Natumai hamjambo wakuu
Tukiwa tunaendelea na mapambano dhidi ya corona nimependa kushare kisa kilichofaninya niwaone wazazi maboya ajili ya mapendo
Kuna mrembo tuliwahi pendana sana huko nyuma na dream yetu ilikua ni kufunga ndoa day1..
Siku1 nikamualika home anitembelee, sasa kwa kua yeye alikua mkristo pia mitupio yake ilikua mini skirt/suruali so wazazi hawakupenda after kuondoka wakaniweka kitako nakunipa onyo kua nimepotea njia, niliwaelewesha mavazi hayatafsiri tabia ya mtu bt hawakunielewa hata kidogo
Huo ndo ukawa mwanzo wakutofautiana kifikra na wazazi hadi nikawaona maboya, wazazi walinikazia sana jambo lilonipa mawazo ya mda mrefu mwisho nilivnja mahusiano japo sikumwambia sababu
Nilichojifunza siku mwanangu akitaka oa/kuolewa mambo ya udini wala mavazi hayatakua na nafasi maana mi mara nyingi sana namkumbuka yule binti na naamin ndo alikua mtu sahih kuliko nilie nae sasa.