nina adabu coz nimefuata watakavyo japo kama mwanadam niliona naingiliwa kimaamuziSasa hadi hapo hauoni tu kwanza kuwa hauna adabu kwa wazazi wako na hauna radhi yao....
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu sijawatukana bt kuwaona kama maboya ni hisia zakuona kama umepokwa haki ya kuamua kua mtu unaemhtaji, pia jambo hili halijanifika pekee ni wengi tu japo hawatatokeaungekua marekani wazungu wangekusifu sana kwa kuwatukana wazazi mana wao wamezoea hivyo, ila kiafrika wazazi ndio kama miungu yetu midogo, hakuna atakaekusapoti hapo, umebugi kutukana wazazi wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
hizi ni hisa hasi kwa wazazi hasa unapoingiliwa ktk maamuzi bt hua hazi-exist ktk uhalisiaWazazi maboya
kwa hiyo unataka upashe kiporo moto kidogo au ?Natumai hamjambo wakuu
Tukiwa tunaendelea na mapambano dhidi ya corona nimependa kushare kisa kilichofaninya niwaone wazazi maboya ajili ya mapendo
Kuna mrembo tuliwahi pendana sana huko nyuma na dream yetu ilikua ni kufunga ndoa day1..
Siku1 nikamualika home anitembelee, sasa kwa kua yeye alikua mkristo pia mitupio yake ilikua mini skirt/suruali so wazazi hawakupenda after kuondoka wakaniweka kitako nakunipa onyo kua nimepotea njia, niliwaelewesha mavazi hayatafsiri tabia ya mtu bt hawakunielewa hata kidogo
Huo ndo ukawa mwanzo wakutofautiana kifikra na wazazi hadi nikawaona maboya, wazazi walinikazia sana jambo lilonipa mawazo ya mda mrefu mwisho nilivnja mahusiano japo sikumwambia sababu
Nilichojifunza siku mwanangu akitaka oa/kuolewa mambo ya udini wala mavazi hayatakua na nafasi maana mi mara nyingi sana namkumbuka yule binti na naamin ndo alikua mtu sahih kuliko nilie nae sasa.
mkuu nawaheshim sana ndo maana nilifuata matakwa yao bt hisia hasi hu-exist pale unapohisi umeingiliwa kimaamuzi"WAHESHIMU BABA NA MAMA UPATE KUISHI MAISHA MAREFU NA KHERI HAPA DUNIANI" yani kukuzaa ww ndio imekuwa kosa leo kisa huyo mwanamke wako inasikitisha sana.
Unajua mzazi ni Mungu wa Duniani hapa huwezijua waliona nn kwa huyo mwanamke huwenda kuna vingi umeepushwa navyo pasipo ww kujua muda mwengine tusiwatupie lawama sana hawa watu hakuna mzazi anayemnyima mtoto wake kitu kizuri vizuri kama uliwasikiliza.mkuu nawaheshim sana ndo maana nilifuata matakwa yao bt hisia hasi hu-exist pale unapohisi umeingiliwa kimaamuzi
no bt kuna mambo mwenzi hunichanganya hata nikahisi labda angekua yule chaguo langu isingekua hivo
nae angekuwa na matatizo yake ila kama ulimpenda sana ungeweza kumvumilia zaidi na ungeona mepesi.no bt kuna mambo mwenzi hunichanganya hata nikahisi labda angekua yule chaguo langu isingekua hivo
yeah lakini ndo ishakua hivo acha nikubali matokeonae angekuwa na matatizo yake ila kama ulimpenda sana ungeweza kumvumilia zaidi na ungeona mepesi.
Sent using Jamii Forums mobile app