Mdakuzi
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,294
- 6,872
Kwa mijadala ya namna hii huwezi kabisa kushangaa Tanzania kuwa na Mbunge kama Babu Tale, na kuwa nchi yenye Marais watano rasmi na hakuna wa kuhoji.Wakulungwa..... habari Gani
Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana
Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..
Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Ova