Je, utafanyaje kama umemtongoza mke wa rafiki Yako na amekukataa?

Wakulungwa..... habari Gani

Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Kwa mijadala ya namna hii huwezi kabisa kushangaa Tanzania kuwa na Mbunge kama Babu Tale, na kuwa nchi yenye Marais watano rasmi na hakuna wa kuhoji.

Ova
 
Wakulungwa..... habari Gani

Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
njia zile zile unazozitumia kuwasema mashabiki wa simba.
 
Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Sasa kapanick nini?

Katongoza, katolewa nje, apige kimya maisha yaendelee...

Wanawake huwa wakitongozwa hawasemi kwa waume zao...
 
Unajiaminije kuwa na mke wako hajampitia? Anyway, akae kimya kikinuka ageuke aseme yeye ndo alitongozwa. Au aongee na shemeji yake amwambie asiseme.
 
Sijawahi kusupport ufirauni ila sasa nachelea kusema kuna raia wanastahili huo ushenzi, yaani rafiki yako kabisa na tena mke wake na bado unapiga saundi, kweli??

Wakati si wengine hata michepuko tu tunarespect sembuse wife, huyo apate anachostahili
Sasa ukiona pisi kali...unategemea Nini mkuu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Pole mkuu kwa kutolewa kando.
Najua ni wewe tuuuuu
KUfail kwenye mawindo ni jambo la kawaida,cha msingi kubaliana na hali. Jinginr kama kulikuwa na tafrani basi omba radhi mambo yaishe ila kama tafrani ilikuwa ya kawaida we potezea
 
Wakulungwa..... habari Gani

Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Uwo ndo usela mavi kuwa na washikaji wajinga iv unaanzaje mtu kumtongoza shemeji yako ni kosa kubwa sana uwo siyo ushikaji kabisa mindo maana ushikaji uishie vijiweni au jiani siyo ushikaji et nakukuta unauleta hadi kwangu eti kujifanya kuniulizia au kuleta ujamaa hadi home aise navunja mtu shingo ushikaji nnje ya home Sawa usilete home mazoea kama hayo yakuja home kujifanya kama mwema ndo matokeo kama hayo yakutongoza mashemeji aise ni ujinga
 
Wakulungwa..... habari Gani

Huku kimeumana Kuna jamaa yangu ameyatimba Baada ya kumtongoza shemeji ake ( mke wa rafiki yake) na huyo mke wa rafiki yake ametolea uvivu Kwa kumtukana

Jamaa angu amechanganyikiwa hajui la kufanya kama habari zitafika Kwa mwenye Mali ..

Je mshkaji atumie njia Gani ku escape hili Soo..... only legend have to answer this.....
Najua vijana wa hovyo mtasema ni Mimi???

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Unatubu, unamuomba shemeji msamaha na unaacha ujinga na tamaa za hovyo.

Bibie atanyamaza tu.
 
Back
Top Bottom