Je, utafanyaje kama umemtongoza mke wa rafiki Yako na amekukataa?

Mbona simple anamuambia tu alikuaanafanya utani
 
Atongozaye mke wa rafiki yake huyo ni mpumbavu
 
Mbona issue ndogo hivyo. Yeye akae kimya, aendelee na masha kama kawaida. Asalamiane na kuendelea na kila kitu as nothing happen. Hakuna haja ya kuomba msamaha wala kuhaingaika huku na huku.

Hii ni kwa sababu.
1. Shemeji hawezi kumwambia mumewe.
2. Mumewe hawezi kujua kwa nanmna yoyote ile.

Maisha yaendeleee.
 
Sasa kapanick nini?

Katongoza, katolewa nje, apige kimya maisha yaendelee...

Wanawake huwa wakitongozwa hawasemi kwa waume zao...
Kabisa ila wakiliwa na kuachana ndiyo husema ili kuvunja urafiki wa mume na ex mchepuko
 
Daaah kumbe!!

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
wakati anamtongoza alikuwa anajua kuwa hili linaweza kutokea,hivyo alitengeneza contigent plan yake,basi hiyo ndio aitumie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…